Rais Samia kutoa Fedha sawa za Magoli kwa Simba SC inayoshiriki CAFCL na Yanga SC inayoshiriki CAFCC si sahihi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?

Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.

Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?

Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?

Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.

Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?

Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.

Imeisha hiyo......!!!!!
 
Tayari mwezi mchanga umefika tayari, ukikubali kunywa mchuzi wa nguruwe na nyama yake ule.

Kama unakubaliana na kauli za Manara basi mkubali kwa kauli zote, usichaguwe.

CAF waleteeee.
Screenshot_2023-03-10-10-33-09-22.png
 
Siyo kila wa Kujiita Dk fulani ni Mwerevu bali kuna Wengine wameamua Kujiita Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums wakati Wanajulikana kabisa kuwa ni International Certified Fools.
 
Inaelezwa kuwa hata goli moja la CAFCL ni sawa na magoli matatu ya CAFCC, kwahivyo kuifanya hii michuano kuwa ni sawa si vema kabisa. Hivyo hata Gongowazi wangekuwa wanashiriki CAFCL wakawa wanapewa hela ndefu kuliko Lunyasi bila shaka Lunyasi kwa kuwa ni watu makini wenye kutafakari mambo kwa kina wangeridhia, kwasababu hii ni michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika.
 
Kwani hata Hizo Milioni 5 tulitegemea kutolewa na mama kwa Kila Goal? Jitahidini tu kupata magoli mengi ili account ya Mama Iteme nyingi..
 
Siyo kila wa Kujiita Dk fulani ni Mwerevu bali kuna Wengine wameamua Kujiita Madaktari wa Falsafa hapa JamiiForums wakati Wanajulikana kabisa kuwa ni International Certified Fools.
[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?

Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.

Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?

Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?

Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.

Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?

Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.

Imeisha hiyo......!!!!!
Akili zako uliziacha Nyamalango
 
Alafu we mbwa mwenzio Nina kichomi ujue Sasa unanipa tabu nikitaka kucheka naumia sana 🤣🤣🤣, si unyooshe tu maelezo kwa nini unazungukia mbali mfyuuuuuu🤪🤪🤪🤪🤪
 
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?

Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.

Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?

Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?

Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.

Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?

Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.

Imeisha hiyo......!!!!!
pesa atoe mama,kuumia uumie wewe[emoji23]
 
uwezo wake umeishia hapo. Wewe wape simba nyingi zaidi ya yanga
 
Afu hizihizi kolos zilishangilia na kusifu goli la sakho alilofunga kwenye shirikisho lilipochaguliwa kuwa goli la msimu. Wala hayakubwata kwamba Hilo goli halishahili kwa kuwa limefungwa kwenye michuano ya shirikisho.
 
Tayari mwezi mchanga umefika tayari, ukikubali kunywa mchuzi wa nguruwe na nyama yake ule.

Kama unakubaliana na kauli za Manara basi mkubali kwa kauli zote, usichaguwe.

CAF waleteeee.
View attachment 2544063
Huyu sasa ndo goal machine,sawa mtoto mdogo,sku nyingine usije kusema ujinga wako mbele ya wababa watu wazima
Screenshot_20230225-033708_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom