Rais Samia kutoa Fedha sawa za Magoli kwa Simba SC inayoshiriki CAFCL na Yanga SC inayoshiriki CAFCC si sahihi

Yaani yanga ingekuwa Caf champions league na simba ingekuwa Caf confederation cup halafu wakapewa hela sawa wote basi yule nguruwe pori angepiga kelele kila siku ila kwasababu anajua sio sawa na alishasema caf confederation cup ni kombe la looser amejikausha kimya kama sio yeye vile.
 
anachofanya mama sio cha lazima ni cha hiari,wanachofanya CAF ni cha lazima na sio hiari...sasa kumpangia mtu anayefanya vitu kwa hiari huo ni UAFANDE WA KIZANZIBARI
 
Huyu sasa ndo goal machine,sawa mtoto mdogo,sku nyingine usije kusema ujinga wako mbele ya wababa watu wazimaView attachment 2544402
Umechelewa wapi kujua kuwa huyo Unayemjibu ni International Certified Fool hapa Jamvini?

Ukiona tu GENTAMYCINE namdharau Mtu hapa jua hana Akili hivyo usipoteze nae muda au asikupotezee muda wako kamwe sawa?
 
Pambanane na sio kutegemea viti maalumu kwa hiyo mh Rais angesema mpewe milioni 50 mngewafunga Casablanca goli ngapi au Horoya.

Pambana na sio kutegemea kitonga umeandika ujinga mbona nimeona aibu mimi
 
Pambanane na sio kutegemea viti maalumu kwa hiyo mh Rais angesema mpewe milioni 50 mngewafunga Casablanca goli ngapi au Horoya.

Pambana na sio kutegemea kitonga umeandika ujinga mbona nimeona aibu mimi
Kwani Wewe umeshawahi Kumiliki Akili?
 
toa zako utenganishe
 
Kama shirikisho kwepesi mbona mlitumia uchawi pale kwa madiba ?

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 

Hv Goli bora la msimu CAF la P. Sakho lilifungwa Champions league au Confederation Cup?
 
Nikisema JF wamejaa Wagonjwa wa Afya ya Akili huwa mnakataa...Haya huyu nae aende Room no.9 na kumuona Daktari ni 10k pale
 
Weka za kwako
 
Kwani mama anatoa hela kama zawadi au ni hamasa ili timu zetu ziweze kufanya vizuri michuano ya kimataifa, mngekuwa mmefunga goli nyingi kuliko yanga wala haya tusingeyasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…