Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anachofanya mama sio cha lazima ni cha hiari,wanachofanya CAF ni cha lazima na sio hiari...sasa kumpangia mtu anayefanya vitu kwa hiari huo ni UAFANDE WA KIZANZIBARISimba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?
Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.
Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?
Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?
Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.
Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?
Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.
Imeisha hiyo......!!!!!
Umechelewa wapi kujua kuwa huyo Unayemjibu ni International Certified Fool hapa Jamvini?Huyu sasa ndo goal machine,sawa mtoto mdogo,sku nyingine usije kusema ujinga wako mbele ya wababa watu wazimaView attachment 2544402
Kwani Wewe umeshawahi Kumiliki Akili?Pambanane na sio kutegemea viti maalumu kwa hiyo mh Rais angesema mpewe milioni 50 mngewafunga Casablanca goli ngapi au Horoya.
Pambana na sio kutegemea kitonga umeandika ujinga mbona nimeona aibu mimi
toa zako utenganisheSimba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?
Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.
Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?
Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?
Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.
Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?
Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.
Imeisha hiyo......!!!!!
Ninazo?toa zako utenganishe
Kama shirikisho kwepesi mbona mlitumia uchawi pale kwa madiba ?Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?
Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.
Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?
Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?
Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.
Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?
Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.
Imeisha hiyo......!!!!!
AhahhaaaHii ni kwasababu mmeshindwa kufunga magoli mengi na ndo maana mnataka mpate double kwa kidogo mnachokifanya😂
Simba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?
Kuipa / Kuwapa Simba SC inayoshiriki CAFCL Shilingi Milioni Tano ni Kututukana na Kutudhalilisha wana Simba SC na nauomba Uongozi wa Simba SC kuanzia sasa uwe Unagomea hizo Fedha za Rais Samia.
Kama kuna Wapuuzi watanibishia na kunikatalia hili wajiulize ni kwanini Wao hawapo CAFCL na wapo Kombe la Losers ( Walioshindwa ) la CAFCC?
Hivi CAF huwa wanatoa Fedha sawa kwa Washindi wa CAFCL na CAFCC? Kama jjbu ni hapana je, GENTAMYCINE nikisema Rais Samia kutoa Fedha za Magoli kwa Simba SC iliyoko CAFCL na Yanga SC walioko CAFCC si sawa nitakuwa nakosea?
Simba SC inayoshiriki CAFCL ipewe na Rais Samia kwa kila Goli Shilingi Milioni 25 na Yanga SC iliyoko CAFCC ndiyo ipewe Shilingi Milioni Tano hiyo kwa kila Goli.
Yaani Goli la Clatous Chota Chama kama lile la Juzi dhidi ya Vipers FC ulinunue kwa Shilingi Milioni Tano kweli?
Acheni Kutukera na Kutudhalilisha wenye Akili na wana Simba SC sawa? Nasubiri sasa Mapovu yenu.
Imeisha hiyo......!!!!!
Weka za kwakoSimba SC inashiriki Kombe la Wanamume wa Shoka na Klabu nyingine inashiriki Kombe la Wadada na Walioshindwa je, iweje leo Wote wapewe Kiasi sawa cha Fedha Shilingi Milioni Tano kwa kila Goli?