Rais Samia Kuutetemesha Mkoa wa Songwe Septemba 4. Ujio wake wawa Gumzo hadi Zambia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Songwe hakukaliki wala hakuna mwana songwe aliye tulia . Kila mmoja yupo na hekaheka za kujiandaa kumpokea kwa bashasha na furaha kubwa sana Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika.

Ambapo atatua kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Songwe nzima septemba 4 Mwaka huu. Ambapo ziara hiyo ni muendelezo wa Kampeni zake ambazo zilizinduliwa rasmi Mwezi uliopita pale jijini Dar es salaam. Ambapo katika safari hiyo atakutana na maelfu kwa maelfu ya wana songwe ambao wamejiandaa kisawasawa kuweza kumpokea.

Miongoni Mwa maeneo atakayo pita au kusimama na kuzungumza na wananchi ni katika Jimbo la Mbozi ambalo Mheshimiwa Mwalimu Onesimo Medison Mkondya ndiye aliyeteuliwa na CCM kupeperusha Bendera ya chama chetu cha Mapinduzi.

Ambapo katika Jimbo hili asilimia kubwa ya wananchi ni wakulima na kilimo ndio tegemeo kubwa sana. Hivyo Mheshimiwa Rais atakapokuwa Jimbo la Mbozi hususani Eneo la Mji mdogo wa Mlowo atakutana na Maombi yanayohusiana na masuala ya pembejeo za kilimo hususani mbolea .

Lakini pia Kilio kikubwa sana cha wana Mbozi ni kupata Barabara ya Kiwango cha Lami kutoka Eneo la Mji mdogo wa Mlowo mpaka Kamsamba. Ambapo barabara hii ikijengwa kwa kiwango cha Lami itafungua fursa nyingi sana na kuwasaidia sana wakulima katika suala zima la usafirishaji wa mazao yao kufika katika soko au barabara kuu ya Dar hadi Tunduma kwa ajili ya kwenda maeneo mbalimbali ya NCHI.

Kwa hiyo wana Mbozi kupitia Kijana wao Kipenzi na Mtoto wa Nyumbani Mheshimiwa Mwalimu Onesimo Medison Mkondya anayegombea Ubunge Jimbo la Mbozi wanaamini kwa Dhati kabisa Mheshimiwa Rais atapokea ombi hilo la kujengewa barabara hii kwa kuwango cha Lami.

Japo mkataba ulishasainiwa wa ujenzi wa barabara hii. Lakini wana Mbozi wanaamini kauli moja tu ya Mheshimiwa Rais inaweza kuwalipua kwa furaha wana Mbozi wote na barabara ikaanza kujengwa mara moja bila kuchelewa na kuleta tabasamu kwa watu wote wa mkoa huu wa songwe.

Lakini pia Mheshimiwa Rais atakuwa na mkutano mkubwa sana wa Hadhara katika Eneo la TAKRI kabla ya kwenda kufanya mkutano mwingine mkubwa sana Pale Mji wa Tunduma Eneo ambalo CCM imempatia Mheshimiwa David Ernest Silinde Sauti ya Simba kupeperusha Bendera ya chama.

.ambapo taarifa zinaonyesha ujio huo wa Rais wetu Mpendwa umekuwa Gumzo pia hadi Zambia huko. Ikumbukwe ya kuwa wazambia wanamkubali sana Rais wetu kwa uchapakazi wake uliotukuka na namna alivyoimarisha ujirani mwema na biashara kufanyika kwa amani kabisa kati ya Mataifa haya mawili majirani na yenye historia kubwa sana ya kindugu tangia enzi za akina Kenneth Kaunda na Hayati Baba wa Taifa letu Mwalimu Nyerere.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ng'ombe za mama..
506363624_18514727983054954_4567348936021459078_n.jpg

94351755_2539785432900533_4133298086959120384_n.jpg

497552095_1288110889992370_4469779133894973736_n.jpg
 
Mama yako mzazi ni lini ulipompamba kwa makala ndefu namna hii?
 
🚮
 
Dabi yenye msisimko bongo ni ya simba na yanga , mmoja wao akikosekana hapa ni sawa na chai bila sukari ,mtoa mada unajitekenya alafu unacheka mwenyewe.
 
Labda atetemeshe matako yako
 
Mikoa ya nyanda za juu kusini waulizeni wenye mamlaka juu ya kupotea Kwa watu wenu kama Mdude nyagali chadema.
 
tsunami na mafuriko ya wananchi wenye shauku na hamasa ya kumpokea, kumuona na kumsikiliza Dr Samia Suluhu Hassan kwenye mikutano ya kampeni haijawahi kutokea tangu tupate uhuru.

Asanti sana wananchi,
God bless Dr.Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Yaani huko ndio watetemeshwe na hilo jizi la kura?

Ndio maana Ma CHADEMA yakaamua yakimbie uwanjani Kama ndama.
 
Back
Top Bottom