Kwani tanzanite ni bidhaa zao?Watu waachiwe uhuru wa kununua na kuuza bidhaa zao
Wachimbaji wanawekeza pesa nyingi na muda mwingi sana kuyatafuta madiniWatu waachiwe uhuru wa kununua na kuuza bidhaa zao
Muulizeni huyo Miss utalii ni nani aiachie kidogo kidogo?Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum
Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na kuongeza, "Endapo yatauzwa kwa mpangilio na kuachiwa kidogo kidogo duniani thamani yake itapanda"
Kuhusu changamoto za Vituo vya Afya na Madarasa Wilaya Simanjiro, Rais Samia amesema Serikali inakusanya fedha na ujenzi utafanyika
Kuuza hovyo bila mpangilio kutashusha bei na hii ni kanuni ya uchumi ya Demand and Supply na siyo ulozi.Watu waachiwe uhuru wa kununua na kuuza bidhaa zao
hapa ndipo mchawi alipojificha.Kwanini amelegeza madini yanaenda nairobi km njungu toka April?
Mama atulie na kulea wajukuu hajui lolote yupo tu,tanzanite jk aliacha gram AAA+ ikiwa 1.6m alivyoingia meko na yeye thamani ilishuka mpka laki 5 kwa AAA+...unakamata wanunuzi na wachimbaji kisha unawapa kesi,unategemea nini zaidi ya kuua soko,wanunuzi wakubwa wote waliondoka wamebaki waswahili wenye mitaji midogo.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum
Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na kuongeza, "Endapo yatauzwa kwa mpangilio na kuachiwa kidogo kidogo duniani thamani yake itapanda"
Kuhusu changamoto za Vituo vya Afya na Madarasa Wilaya Simanjiro, Rais Samia amesema Serikali inakusanya fedha na ujenzi utafanyika
Hapo alipo hajui majukumu yake anafikiria yuko kibanda maiti anakula urojoKwanini turekodiwe hovyo, kisha tuoneshwe Dunia nzima? Why?
Rudi kwenye kamusiKwani tanzanite ni bidhaa zao?
Bidhaa mkuu ni nyanya, vitunguu, kebichi, nyanya Chungu n.k
Kifupi bidhaa ni vitu ambavyo havina thamani lakini sio madini
Kamusi isikudanganye mkuuRudi kwenye kamusi
Kijana acha ubishi wa kujidhalilisha.Kamusi isikudanganye mkuu
Kamusi imeandikwa na watu ambao hata wao hawaamini kuwa bidhaa ni bidhaa au sio bidhaa
Mi ni mzeeKijana acha ubishi wa kujidhalilisha.
Acha dharauMuulizeni huyo Miss utalii ni nani aiachie kidogo kidogo?