Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana tamaa mnoo hujawahi kuonaaaa....Kabisa mkuu, huyu mzee ni kigeugeu hanamsimamo
Siasa alizokuja nazo zilishapitwa na wakati.......😄😄😄1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Ana tamaa mnoo hujawahi kuonaaaa..
Sasa Yule Kiumbe angewezaje kufanya kazi na kilaza Kama huyuWassira kafanya Kazi na Marais wote kasoro Shujaa Magufuli
Mwenyekiti dhaifuuuu atajutaaaa....angekubali kueaachia watanganyika zigo lake...angetulia slindwe hadi kufa...huko mbele sio salama kwakee kbsssKwanza hata haifahamiki ameingiaje, ni kweli ni maamuzi ya Mwenyekiti? Mi siamini
80+ kuwa Naibu M/kit kwenye kipindi ambacho more than 50% ya wapiga kura ni gen Z was a very wrong move!1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kabisa mkuu, lakin inawezekana Mungu amefungua njia ccm kuwa CHAMA cha upinzani, dali li naanza kuziona kwa mbali,80+ kuwa Naibu M/kit kwenye kipindi ambacho more than 50% ya wapiga kura ni gen Z was a very wrong move!
Kwani vijana wa Ccm hawaaminiki?
Ataweza kujibu hoja za vijana kiujana?
Lazma Ccm ianze kuangalia hali kulingana na uhitaji wa muda,sio kuwekana sababu wana uhakika wa kubaki madarakani kwa msaada wa dola.
Mabadiliko!