Rais Samia kuwa makini sana na Stephen wasira ni kigeugeu sana

Mtiifu kwa deep state anaweza kumgeuka kizmkz saa yeyote.....muda mwalim mkuu
 
Siasa alizokuja nazo zilishapitwa na wakati.......πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwanza hata haifahamiki ameingiaje, ni kweli ni maamuzi ya Mwenyekiti? Mi siamini
Mwenyekiti dhaifuuuu atajutaaaa....angekubali kueaachia watanganyika zigo lake...angetulia slindwe hadi kufa...huko mbele sio salama kwakee kbsss
 
Mwenyekiti dhaifuuuu atajutaaaa....angekubali kueaachia watanganyika zigo lake...angetulia slindwe hadi kufa...huko mbele sio salama kwakee kbsss
Eti anajua sana matusi ndo maana wamemchukua
 
Mwenyekiti dhaifuuuu atajutaaaa....angekubali kueaachia watanganyika zigo lake...angetulia slindwe hadi kufa...huko mbele sio salama kwakee kbsss
Huyu wasira kwanza watanzania wamechoka, halafu hana jipya
 
80+ kuwa Naibu M/kit kwenye kipindi ambacho more than 50% ya wapiga kura ni gen Z was a very wrong move!

Kwani vijana wa Ccm hawaaminiki?
Ataweza kujibu hoja za vijana kiujana?
Lazma Ccm ianze kuangalia hali kulingana na uhitaji wa muda,sio kuwekana sababu wana uhakika wa kubaki madarakani kwa msaada wa dola.
Mabadiliko!
 
Kabisa mkuu, lakin inawezekana Mungu amefungua njia ccm kuwa CHAMA cha upinzani, dali li naanza kuziona kwa mbali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…