Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ni wapi Nimemchukia?Mnamchukia ila habari zake ndio zinawaweka mjini
USSR
I mean Chato MkuuGEITA ni mkoa kitambo tuu.
Au wamaanisha kijiji cha Chato?!!!
Anamaanisha ChatoGEITA ni mkoa kitambo tuu.
Au wamaanisha kijiji cha Chato?!!!
Mungu anatisha sana yaani ana uwezo wa kulibadilisha jiwe na kuwa udongo tuuuuKisha wataenda kuona kaburi la Jiwe. Likawafundishe kuacha jeuri na dhulma kama jiwe
Thubuuutuuuuu yaani nyinyi mbona mnamchukulia poa sana huyu mama?Huko ndiko itatangazwa rasmi kuwa Chato ni mkoa mpya.
Wana Chato wanadhani kupewa mkoa ndiyo kuilinda legacy ya stoneKutokujua, hadhi mkoa, manispaa nk Ni kuongeza mzigo kwa wananchi vijiji vya huko, Bora kuomba Halmashauri endapo hitaji lipo, sifa za Jina mkoa na majengo mengi na makubwa taasis za umma hazina impact kubwa maisha Bora ya watu.
Sherehe za wachawi zina mwisho mbaya sana, neno la Mungu kwenye kitabu cha Isaiah 50:11 linasema wale wote wanaokimbiza mwenge watalala kwa huzuni.Hivi kumbe huwa kuna sherehe za kuzima mwenge?? Sikuwahi kujua hili
Daaaa kumbe hata kwenye maandishi matakatifu lipo hilo andiko?Sherehe za wachawi zina mwisho mbaya sana, neno la Mungu kwenye kitabu cha Isaiah 50:11 linasema wale wote wanaokimbiza mwenge watalala kwa huzuni.
Daaaa kumbe hata kwenye maandishi matakatifu lipo hilo andiko?