Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

Eti niamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni nani ndani ya nchi hii?
Me ni raia tu wa kawaida kuna mambo yanatabilika kiurahisi sana binadamu anatabilika ndugu hilo yafaa kulijua
 
chato siyo kijiji ni wilaya na sasa unaenda kuwa Mkoa kwa wasiotaka hao watakuwa na agenda yao ss tunataka wananchi wapate huduma karibu na si kufuata mbali.
Ukiwa mkoa ndiyo utapata maji kwa karibu?
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kufikiria kuwa ukiwa na mikoa au wilaya nyingi, ndiyo maendeleo au ndiyo utapata huduma bora.

Kinachotakiwa ni kupeleka huduma na shughuli za kitaalam kwa wananchi, siyo ofisi za kiutawala.

Tujifunze kutoka mataifa mengine:

Nani alikia US, UK, China, Japan, SA, Nigeria, Botswana, Norway, Saudia, wamegawanya/wameongeza mikoa au wilaya?

Kwa ujinga huu tunaoenda nao, kuna siku kila kijiji utakuwa mkoa, na wajinga watashangilia na kusema sasa Tanzania imeyazidi mataifa yote kwa maendeleo kwa sababu kila kijiji ni mkoa.
 
Kugawa mikoa vipandevipande ni njia mojawapo ya kuwatafutia ajira ndugu zao huku sisi walala hoi tukiambiwa hakuna ajira
Kwani na wewe ni mlala hoi?

Ina maana kumtetea kote Mbowe hajakuajiri?
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kufikiria kuwa ukiwa na mikoa au wilaya nyingi, ndiyo maendeleo au ndiyo utapata huduma bora.

Kinachotakiwa ni kupeleka huduma na shughuli za kitaalam kwa wananchi, siyo ofisi za kiutawala.

Tujifunze kutoka mataifa mengine:

Nani alikia US, UK, China, Japan, SA, Nigeria, Botswana, Norway, Saudia, wamegawanya/wameongeza mikoa au wilaya?

Kwa ujinga huu tunaoenda nao, kuna siku kila kijiji utakuwa mkoa, na wajinga watashangilia na kusema sasa Tanzania imeyazidi mataifa yote kwa maendeleo kwa sababu kila kijiji ni mkoa.
Kwani unaumia?
 
Hivi huu mwenge una faida gani kwetu watanzania, nachoona mimi unashiriki kusambaza magojwa tu kama corona, ukimwi na mimba kwa vijana wetu kwenye hiyo mikesha yake nchi nzima.

Nikosolewe kama siko sahihi.
 
Upo dahihi na tupo wengi wenye maswali kama yako
 
Wakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita.

Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini Unguja na utakamilika Oktoba 14 mwaka huu Huko Chato.

Wazee Wa Chato Wanatarajia siku Hiyo Chifu Hangaya atangaze Chato Kuwa Mkoa Rasmi.

View attachment 1966389
Haya mambo yana faida kweli? Anyway ndio utaratibu ambao ccm wamechagua.
 
Huo uwanja wa ndege tu sasa hivi wanafaidi wavuvi wa dagaa tu
Leta picha mkuu tufurahi.

Kule kwa Mobutu kuko hivi
JamiiForums-496543357.jpg
JamiiForums300291559.jpg
JamiiForums1185404584.jpg
JamiiForums-1511111568.jpg
JamiiForums-441675711.jpg
 
Ni upumbavu wa hali ya juu kufikiria kuwa ukiwa na mikoa au wilaya nyingi, ndiyo maendeleo au ndiyo utapata huduma bora.

Kinachotakiwa ni kupeleka huduma na shughuli za kitaalam kwa wananchi, siyo ofisi za kiutawala.

Tujifunze kutoka mataifa mengine:

Nani alikia US, UK, China, Japan, SA, Nigeria, Botswana, Norway, Saudia, wamegawanya/wameongeza mikoa au wilaya?

Kwa ujinga huu tunaoenda nao, kuna siku kila kijiji utakuwa mkoa, na wajinga watashangilia na kusema sasa Tanzania imeyazidi mataifa yote kwa maendeleo kwa sababu kila kijiji ni mkoa.
Kwa Tanzania kuongeza mikoa ndo kunaleta maendeleo vijijini maana serikali inapeleka watu walioelimika na wenye upeo wa mambo makubwa kwa watu wenye upeo mdogo wa mambo makubwa mfano ujenzi wa nyumba nzuri zenye maji na umeme na matumizi ya hizo huduma zitumike kuingizia serikali kodi, hospital zijengwe na watu wazitumie na shule hivyo hivyo maana vijijini bado Kuna upeo mdogo wa kufanya mambo ya maendeleo mpaka wakichanganywa na watu wa mjini kunawaamusha, haya tuje kwenye Nchi ulizotaja wao tayari ni watu wenye upeo wa maendeleo na mambo makubwa hivyo huduma vizisogezwa kwa watu zinatumika ipasavyo mfano ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye public vinatumika vizuri, miundo mbinu kama barabara na maji inatumika vizuri na magari yananunuliwa, biashara zinafanyika, huo ndo utofauti wa hizi Nchi unaoilazimu serikali kuongeza mikoa Ili maendeleo vijijini yafike kwa wakati na pia yatumike vizuri kama binadamu mwenye utashi na siyo Bora kuishi huku wakipewa maendeleo wanaharibu kwa kukosa uelewa.
 
Wakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita.

Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini Unguja na utakamilika Oktoba 14 mwaka huu Huko Chato.

Wazee Wa Chato Wanatarajia siku Hiyo Chifu Hangaya atangaze Chato Kuwa Mkoa Rasmi.

View attachment 1966389
Chief hangaya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Jana usiku wa manane nimeota ndoto kuwa kuna Paka linapenda kuzurura sana😁😁😁
 
Back
Top Bottom