Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Akifanya Chettle Mkoa Sawa Sawa Tu, Baadaye Tunajua
Kuna Hii Mikoa Nayo Inataka Igawanye
Morogoro, Tanga, Mwanza, Kigoma, Ruvuma

Nchi Kila Uchao Ni Kugawa Vipande Vya Ardhi Watu Watawale Tu
Kugawa mikoa vipandevipande ni njia mojawapo ya kuwatafutia ajira ndugu zao huku sisi walala hoi tukiambiwa hakuna ajira
 
Hivi huu mwenge una kitu gani hasa? ina maana nchi haiwezi kwenda bila kukimbiza moto jambo linaloashiria kufanya ibada kwa miungu ya kale.....kwa nini ambao hatuamini miungu tunalazimishwa kushiriki ibada za kimiungu na laana zake?
 
Ni upuuzi tu kwani kile kijiji cha chattle kina nini hasa cha maana , mnaacha kufanya mambo ya msingi mnahangaika na mikoa sijui wilaya sijui kuongeza takataka gani wakati hata maji ya kunywa wananchi na mifugo yanatushinda woote tunakunywa kwenye dimbwi moja, kuna laana fulani inawatafuna viongozi. UBINAFSI ni kitu kibaya sana take it
 
Sidhani kama kuna ubaya ukikataa kabisa kulazimishwa kuabudu miungu watu
 
Ni upuuzi tu kwani kile kijiji cha chattle kina nini hasa cha maana , mnaacha kufanya mambo ya msingi mnahangaika na mikoa sijui wilaya sijui kuongeza takataka gani wakati hata maji ya kunywa wananchi na mifugo yanatushinda woote tunakunywa kwenye dimbwi moja, kuna laana fulani inawatafuna viongozi. UBINAFSI ni kitu kibaya sana take it
Bila kuiondoa ccm madarakani tutaendelea kulalama kila uchao.

Ingawa najua ni kazi ngumu lkn kama watanzania kwa umoja wetu tukiamua tunaweza kuitoa ccm madarakani.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Akifanya Chettle Mkoa Sawa Sawa Tu, Baadaye Tunajua
Kuna Hii Mikoa Nayo Inataka Igawanye
Morogoro, Tanga, Mwanza, Kigoma, Ruvuma

Nchi Kila Uchao Ni Kugawa Vipande Vya Ardhi Watu Watawale Tu
Mwanza??? How
 
Chato kuwa mkoa mpya ni nzuri ila wataipa management ya mkoa kazi kubwa sana kujiendesha .
Unless otherwise iwe inaendeshwa na serikali kuu .
 
chato siyo kijiji ni wilaya na sasa unaenda kuwa Mkoa kwa wasiotaka hao watakuwa na agenda yao ss tunataka wananchi wapate huduma karibu na si kufuata mbali.
GEITA ni mkoa kitambo tuu.
Au wamaanisha kijiji cha Chato?!!!
 
wacha wgawe vijana wetu wengi hawana ajira wache nao wapate fursa.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan

Akifanya Chettle Mkoa Sawa Sawa Tu, Baadaye Tunajua
Kuna Hii Mikoa Nayo Inataka Igawanye
Morogoro, Tanga, Mwanza, Kigoma, Ruvuma

Nchi Kila Uchao Ni Kugawa Vipande Vya Ardhi Watu Watawale Tu
 
Chato kuwa mkoa mpya ni nzuri ila wataipa management ya mkoa kazi kubwa sana kujiendesha .
Unless otherwise iwe inaendeshwa na serikali kuu .
Huo uwanja wa ndege tu sasa hivi wanafaidi wavuvi wa dagaa tu
 
Back
Top Bottom