Me ni raia tu wa kawaida kuna mambo yanatabilika kiurahisi sana binadamu anatabilika ndugu hilo yafaa kulijuaEti niamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni nani ndani ya nchi hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me ni raia tu wa kawaida kuna mambo yanatabilika kiurahisi sana binadamu anatabilika ndugu hilo yafaa kulijuaEti niamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni nani ndani ya nchi hii?
Ukiwa mkoa ndiyo utapata maji kwa karibu?chato siyo kijiji ni wilaya na sasa unaenda kuwa Mkoa kwa wasiotaka hao watakuwa na agenda yao ss tunataka wananchi wapate huduma karibu na si kufuata mbali.
Kwani unaumia?Thubuuutuuuuu yaani nyinyi mbona mnamchukulia poa sana huyu mama?
Kwani na wewe ni mlala hoi?Kugawa mikoa vipandevipande ni njia mojawapo ya kuwatafutia ajira ndugu zao huku sisi walala hoi tukiambiwa hakuna ajira
Kwani unaumia?Ni upumbavu wa hali ya juu kufikiria kuwa ukiwa na mikoa au wilaya nyingi, ndiyo maendeleo au ndiyo utapata huduma bora.
Kinachotakiwa ni kupeleka huduma na shughuli za kitaalam kwa wananchi, siyo ofisi za kiutawala.
Tujifunze kutoka mataifa mengine:
Nani alikia US, UK, China, Japan, SA, Nigeria, Botswana, Norway, Saudia, wamegawanya/wameongeza mikoa au wilaya?
Kwa ujinga huu tunaoenda nao, kuna siku kila kijiji utakuwa mkoa, na wajinga watashangilia na kusema sasa Tanzania imeyazidi mataifa yote kwa maendeleo kwa sababu kila kijiji ni mkoa.
Mbona wewe hukujinyonga siku bosi wako Hamza amepigwa risasi?Timu gaidi watajinyonga kwa wivu
Upo dahihi na tupo wengi wenye maswali kama yakoHivi huu mwenge una faida gani kwetu watanzania, nachoona mimi unashiriki kusambaza magojwa tu kama corona, ukimwi na mimba kwa vijana wetu kwenye hiyo mikesha yake nchi nzima.
Nikosolewe kama siko sahihi.
Haya mambo yana faida kweli? Anyway ndio utaratibu ambao ccm wamechagua.Wakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita.
Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini Unguja na utakamilika Oktoba 14 mwaka huu Huko Chato.
Wazee Wa Chato Wanatarajia siku Hiyo Chifu Hangaya atangaze Chato Kuwa Mkoa Rasmi.
View attachment 1966389
Leta picha mkuu tufurahi.Huo uwanja wa ndege tu sasa hivi wanafaidi wavuvi wa dagaa tu
Ukiwa mkoa ndiyo utapata maji kwa karibu?
Acha mambo yako chatto ni mji unaokua hauwezi kuwa hivo hata siku moja jamii za huko zimajenga sana saizi na ukumbuke chatto ina mji wa katoro wenye biashara kubwa sana kuzidi wilaya nyingi tu! Ndo mji unaoifatia kahama!Leta picha mkuu tufurahi.
Kule kwa Mobutu kuko hiviView attachment 1966643View attachment 1966645View attachment 1966646View attachment 1966648View attachment 1966649
This was unnecessary mkuuKisha wataenda kuona kaburi la Jiwe. Likawafundishe kuacha jeuri na dhulma kama jiwe
Kwa Tanzania kuongeza mikoa ndo kunaleta maendeleo vijijini maana serikali inapeleka watu walioelimika na wenye upeo wa mambo makubwa kwa watu wenye upeo mdogo wa mambo makubwa mfano ujenzi wa nyumba nzuri zenye maji na umeme na matumizi ya hizo huduma zitumike kuingizia serikali kodi, hospital zijengwe na watu wazitumie na shule hivyo hivyo maana vijijini bado Kuna upeo mdogo wa kufanya mambo ya maendeleo mpaka wakichanganywa na watu wa mjini kunawaamusha, haya tuje kwenye Nchi ulizotaja wao tayari ni watu wenye upeo wa maendeleo na mambo makubwa hivyo huduma vizisogezwa kwa watu zinatumika ipasavyo mfano ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye public vinatumika vizuri, miundo mbinu kama barabara na maji inatumika vizuri na magari yananunuliwa, biashara zinafanyika, huo ndo utofauti wa hizi Nchi unaoilazimu serikali kuongeza mikoa Ili maendeleo vijijini yafike kwa wakati na pia yatumike vizuri kama binadamu mwenye utashi na siyo Bora kuishi huku wakipewa maendeleo wanaharibu kwa kukosa uelewa.Ni upumbavu wa hali ya juu kufikiria kuwa ukiwa na mikoa au wilaya nyingi, ndiyo maendeleo au ndiyo utapata huduma bora.
Kinachotakiwa ni kupeleka huduma na shughuli za kitaalam kwa wananchi, siyo ofisi za kiutawala.
Tujifunze kutoka mataifa mengine:
Nani alikia US, UK, China, Japan, SA, Nigeria, Botswana, Norway, Saudia, wamegawanya/wameongeza mikoa au wilaya?
Kwa ujinga huu tunaoenda nao, kuna siku kila kijiji utakuwa mkoa, na wajinga watashangilia na kusema sasa Tanzania imeyazidi mataifa yote kwa maendeleo kwa sababu kila kijiji ni mkoa.
Chief hangayaWakuu, Chifu Hangaya anatarajia Kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele Cha Uzimaji Mwenge Wa Uhuru Octoba 14 Huko Chato Mkoani Geita.
Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 Ulianzia Kukimbizwa Mei 17 Huko Kusini Unguja na utakamilika Oktoba 14 mwaka huu Huko Chato.
Wazee Wa Chato Wanatarajia siku Hiyo Chifu Hangaya atangaze Chato Kuwa Mkoa Rasmi.
View attachment 1966389
Kisha wataenda kuona kaburi la Jiwe. Likawafundishe kuacha jeuri na dhulma kama jiwe
Sijui hata familia ake anakuwa nayo saa ngapi?Mama shughuli huyo..kutwa kudhurura tu.