Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

Hakika Leo ndio nimeona umuhimu wa mbio za mwenge. Uendelee
 
Hivi kumbe huwa kuna sherehe za kuzima mwenge? Sikuwahi kujua hili
Kila awamu ina mbinu zake za propaganda..... Awamu hii wanachanganyachanganya bora mambo yaende na siku ziende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…