Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Kumbuka Samia anatoka Zanzibar hajazoea ujambazi na uhuni wa bara. Dini yake inamfunga kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliye juu ya mwenzake na ukumbuke ni muislamu siyo dini ya kijinga na ya kijasusi na ya kuuana ya kikristo
 
Hapo hamna kitu nimeongelea ujambazi na uhuni. Mbona unaniquote alafu unatype vitu tofauti. Usipanick!! 😂😂😂.
kikwete alikua mkristu?
Ukristu haufungi kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliyejuu?

Embu soma vizuri ninachoandika sio unaandika andika ujaziwe points na mods. Hii ni forum boss wangu😂😂😂. Usiandike andike tu kujibu bila mipango.
 
Kikwete na Samia are the best presidents ever. And they are Muslims. It is during the kikwete regime where democracy came to its apex.
 
Kikwete na Samia are the best presidents ever. And they are Muslims. It is during the kikwete regime where democracy came to its apex.
Vumbi unaongea. Naona unahama thread anzisha uzi wako. Tuje tucoment kuhusu hilo.
Hapa point is SAMIA Kuwa mbel ya wanachadema. Muda huu yupo na UWT.
 
Sukuma Gang pasukeni sasa wauaji wakubwa nyie
 
Yule Mhutu alileta siasa za kishenzi sana
 
Sukuma Gang mna nongwa sana
 
mi naona ccm na mama wanailia timing chadema na wataiteka itakuwa kama mtoto mgongoni kwa mama.
 
Nampongeza sana mwenyekiti wa CCM kukubali kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya CHADEMA. Vilvile nawapongeza sana CHADEMA kwa kutambua umuhimu wa mwenyekiti wa chama chetu kuwa mgeni rasmi wao. Itoshe kusema kwamba hata CHADEMA wameanza kuielewa ilani ya uchaguzi ya CCM.
MAENDELEO HAYANA VYAMA.
 
Vumbi unaongea. Naona unahama thread anzisha uzi wako. Tuje tucoment kuhusu hilo.
Hapa point is SAMIA Kuwa mbel ya wanachadema. Muda huu yupo na UWT.
Point ni kwamba Samia ni rais wa nchi including ACT, chadema nk siyo rais wa ccm hata wewe una haki ya kuniita nyumbani kwako akaja Wala huwezi kufungwa eti kwa sababu umemuita nyumbani kwako rais
 
Hii ndiyo njia JPM alitakiwa kuitumia Kuiua CHADEMA na si ile aliyoitumia!

Ni swala la Muda tu, watanzania wataamua watakavyo pigia chama gani katika uchaguzi Mkuu!

Maisha yanakwenda kwa kasi sana!
Umeandika vyema kongole CHADEMA inajua kuwa njia nzuri ya kujijenga upya Ni kuanzia udiwani na ubunge! Na that will happen sababu Samia Hana Cha kupoteza
 
Hivi unafikiri wananchi wa kawaida huko mtaani wanajali hata Rais akienda huko?

..Sukuma Gang wanachukia.

..Na Raisi anakwenda huko ili kujijengea taswira njema kwa wananchi, na nchi wafadhili wanaotupa misaada.

..Wakati wa Magufuli Bawacha walikuwa hawaruhusiwi hata kufanya jogging kuondoa vitambi vya uzazi.

..Mapolisi wa Magufuli walikuwa wanapiga na kujeruhi hata wanasiasa wanawake. Ukatili huo hata mkoloni Muingereza hakuufanya.
 
Unaamini Samia anachofanya anaenda kinyume na chama chake ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…