Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Jiwe hatokaa asamehewe
Kumbuka Samia anatoka Zanzibar hajazoea ujambazi na uhuni wa bara. Dini yake inamfunga kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliye juu ya mwenzake na ukumbuke ni muislamu siyo dini ya kijinga na ya kijasusi na ya kuuana ya kikristo
 
Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.

Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?

Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.

Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Charming Low Status People is incredibly easy.

Complement them.

Low Status People are very vulnerable to complements, since to them they are so scarce; many of them have not received a complement in years.
 
Hapo hamna kitu nimeongelea ujambazi na uhuni. Mbona unaniquote alafu unatype vitu tofauti. Usipanick!! [emoji23][emoji23][emoji23].
kikwete alikua mkristu?
Ukristu haufungi kuwa kila mtu ana haki sawa hakuna aliyejuu?


Embu soma vizuri ninachoandika sio unaandika andika ujaziwe points na mods. Hii ni forum boss wangu[emoji23][emoji23][emoji23]. Usiandike andike tu kujibu bila mipango.
Kikwete sio muislamu ila amelelewa mazingira ya dini ya kiislam
 
Sasa mbona Marais wa kikristo wote walikuwa wauaji na kukandamiza haki za binadamu mpaka mkapa akatuita eti sisi ni marofa na wapumbavu
Nitajie nchi zimazoongoza kwa machafuko duniani ni nchi za dini gan ndio utapata jibu
 
Nitajie nchi zimazoongoza kwa machafuko duniani ni nchi za dini gan ndio utapata jibu
Marekani na nchi za magharibi. Kumbuka marekani mpaka walimuua gadafi. Ufaransa wanamsapoti kagame ili ya DRC isitawalike waibe madini kirahisi. Ni nchi za magharibi ndo zinatukuza ushoga na papa akiwemo
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano hilo litakalofanyika Machi 08 Moshi mkoani Kilimanjaro.

“Kongamano hili la siku ya wanawake duniani ni la wanawake wote, lakini hapa Tanzania, Bawacha wamekuwa wakiliandaa kwa mafanikio makubwa kila mwaka na wamekuwa wakitoa hotuba zenye jumbe mbalimbali zinazowahusu wanawake wote bila kujali itikadi za vyama vyao.

“Napenda kuwatangazia kuwa Rais Samia ambaye nilikuwa na mazungumzo naye jana Jumamosi, amekubali kuwa mgeni Rasmi siku hiyo na mimi nitampokea mjini Moshi siku hiyo,” alisema Mbowe

Rais Samia kukubali kuhudhuria na kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano linaloandaliwa na chama kikuu cha upinzani ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yanayoendelea kufanywa na chama chake (CCM) na Chadema.


RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAPUNGIA WAJUMBE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YA CHAMA CHAKE (CCM) AMBAPO YEYE NI MWENYEKITI TAIFA
Maridhiano hayo awali yalianza baada ya Rais Samia kuunda kikosi kazi cha kuishauri serikali kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini.

Lakini maridhiano yalitiwa chachu baada ya kikao cha kwanza kati ya Rais Samia na Mbowe kukutana Ikulu, Machi 04, 2022 siku ambayo Mbowe alitoka gerezani baada ya Serikali kuifuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili mwanasiasa huyo.

Kati ya mambo ambayo Chadema waliyapeleka kwa Rais na kutaka yarekebishwe haraka ni pamoja na kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa wa Chadema, jambo ambalo kwa asilimia kubwa limeshafanyika.

Jambo la pili ni kuweka usalama kwa wakimbizi wa kisiasa waliokimbia nchi. Tayari viongozi wa Chadema waliokimbia nchi wamesharejea. Viongozi hao ni Tundu Lissu, Ezekia Wenje na Godbles Lema.

Jambo la tatu lililodaiwa na Chadema ni kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ambapo tayari Januari mwaka huu, Rais Samia ameondoa zuio hilo.

Jambo la nne ni upatikanaji wa Katiba mpya ambapo mpaka sasa mchakato haujaanza.

View attachment 2538065
Safi kabisaaa, Tena mwaliko huu wauona mabarozi wote WA magaribi na ulaya nzimaa. Sasa niwakati wa SAMIA kupita bila kupingwaa 2025.
 
Nimegundua najibishana na mwehu
Sasa nakusaidia nchi zenye machafuko
1. Afghanistan
2. somaria
3. Syria
4. Libya
5. South Sudan
6. Iraq
7. Dr congo
8.Yemen
9. Russia
10. Ukraine
11. Pakistan
Haya niambie mataifa ya dini gani yaongoza kwa machafu.
Tena mataifa mengi hapo yanaongoza kwa sheria za Dini
na hata huyo Zanzibar bila muungano kungekuwa na machafuko huko.
 
Nimegundua najibishana na mwehu
Sasa nakusaidia nchi zenye machafuko
1. Afghanistan
2. somaria
3. Syria
4. Libya
5. South Sudan
6. Iraq
7. Dr congo
8.Yemen
9. Russia
10. Ukraine
11. Pakistan
Haya niambie mataifa ya dini gani yaongoza kwa machafu.
Tena mataifa mengi hapo yanaongoza kwa sheria za Dini
na hata huyo Zanzibar bila muungano kukenguwa na machafuko huko.
Marekani ndo sponsors wa haya machafuko dogo. Muombe mungu urusi awe baba wa Dunia machafuko yote duniani yataisha. We ndo hujui kitu
 
Back
Top Bottom