Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

Missile, do not speculate untill you spectate. Sikudhanii kama unaweza kuwa na such reasoning
Watu wanadhani kupitia matusi ndio unaweza fanikiwa lengo lako...

Watu wengi hufanikiwa kwa kunyenyekea ila wanakuwa na uhakika wa kupata kile wanachokitaka.

Chadema kwa hili niwapongeze maana mdogo mdogo vile vilio vitafumbulika
 
Nampongeza sana mwenyekiti wa CCM kukubali kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli ya CHADEMA. Vilvile nawapongeza sana CHADEMA kwa kutambua umuhimu wa mwenyekiti wa chama chetu kuwa mgeni rasmi wao. Itoshe kusema kwamba hata CHADEMA wameanza kuielewa ilani ya uchaguzi ya CCM.
MAENDELEO HAYANA VYAMA.

Usijizungushe, anaenda Kama Rais na pia Kama kiongozi mkuu mwanamke.
 
Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.

Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?

Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.

Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Kweli wewe ni missile iliyobaki ambayo injini yake ilitutoka march 17
 
Watu wanadhani kupitia matusi ndio unaweza fanikiwa lengo lako...

Watu wengi hufanikiwa kwa kunyenyekea ila wanakuwa na uhakika wa kupata kile wanachokitaka.

Chadema kwa hili niwapongeze maana mdogo mdogo vile vilio vitafumbulika
Umesema jambo la msingi sana kuliko hao wanaobeza juhudi za cdm.

Nashangaa sana na watu wa ACT nao wanabeza
 
Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.

Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?

Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.

Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Sasa kesi si ipo maha

Sasa kesi si ipo mahakamani jombii?
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano hilo litakalofanyika Machi 08 Moshi mkoani Kilimanjaro.

“Kongamano hili la siku ya wanawake duniani ni la wanawake wote, lakini hapa Tanzania, Bawacha wamekuwa wakiliandaa kwa mafanikio makubwa kila mwaka na wamekuwa wakitoa hotuba zenye jumbe mbalimbali zinazowahusu wanawake wote bila kujali itikadi za vyama vyao.

“Napenda kuwatangazia kuwa Rais Samia ambaye nilikuwa na mazungumzo naye jana Jumamosi, amekubali kuwa mgeni Rasmi siku hiyo na mimi nitampokea mjini Moshi siku hiyo,” alisema Mbowe

Rais Samia kukubali kuhudhuria na kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano linaloandaliwa na chama kikuu cha upinzani ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yanayoendelea kufanywa na chama chake (CCM) na Chadema.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAPUNGIA WAJUMBE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YA CHAMA CHAKE (CCM) AMBAPO YEYE NI MWENYEKITI TAIFA
Maridhiano hayo awali yalianza baada ya Rais Samia kuunda kikosi kazi cha kuishauri serikali kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini.

Lakini maridhiano yalitiwa chachu baada ya kikao cha kwanza kati ya Rais Samia na Mbowe kukutana Ikulu, Machi 04, 2022 siku ambayo Mbowe alitoka gerezani baada ya Serikali kuifuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili mwanasiasa huyo.

Kati ya mambo ambayo Chadema waliyapeleka kwa Rais na kutaka yarekebishwe haraka ni pamoja na kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa wa Chadema, jambo ambalo kwa asilimia kubwa limeshafanyika.

Jambo la pili ni kuweka usalama kwa wakimbizi wa kisiasa waliokimbia nchi. Tayari viongozi wa Chadema waliokimbia nchi wamesharejea. Viongozi hao ni Tundu Lissu, Ezekia Wenje na Godbles Lema.

Jambo la tatu lililodaiwa na Chadema ni kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ambapo tayari Januari mwaka huu, Rais Samia ameondoa zuio hilo.

Jambo la nne ni upatikanaji wa Katiba mpya ambapo mpaka sasa mchakato haujaanza.

View attachment 2538065
Kama ni kweli natabiri nchi yetu inaenda kuwa na utaifa unaouka mipaka ya itikadi na vyama vya siasa, tunaenda kuwa na siasa safi na demokrasia ambayo Afrika haijawahi kutokea.

Vv
 
Back
Top Bottom