Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Huo ndo tunaita nchi za kikristo mana yake uuaji na uhayawani. Anajiona kapatia kumbe mbele ya mungu ni chukizo. Uislamu hauna hizo mamboKwa hiyo yeye ni sponsor ila kwake hakuna machafuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo tunaita nchi za kikristo mana yake uuaji na uhayawani. Anajiona kapatia kumbe mbele ya mungu ni chukizo. Uislamu hauna hizo mamboKwa hiyo yeye ni sponsor ila kwake hakuna machafuko
Walete walete mama, fimbo ya mbali haiuwi nyoka, wasogezeRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano hilo litakalofanyika Machi 08 Moshi mkoani Kilimanjaro.
“Kongamano hili la siku ya wanawake duniani ni la wanawake wote, lakini hapa Tanzania, Bawacha wamekuwa wakiliandaa kwa mafanikio makubwa kila mwaka na wamekuwa wakitoa hotuba zenye jumbe mbalimbali zinazowahusu wanawake wote bila kujali itikadi za vyama vyao.
“Napenda kuwatangazia kuwa Rais Samia ambaye nilikuwa na mazungumzo naye jana Jumamosi, amekubali kuwa mgeni Rasmi siku hiyo na mimi nitampokea mjini Moshi siku hiyo,” alisema Mbowe
Rais Samia kukubali kuhudhuria na kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano linaloandaliwa na chama kikuu cha upinzani ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yanayoendelea kufanywa na chama chake (CCM) na Chadema.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAPUNGIA WAJUMBE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YA CHAMA CHAKE (CCM) AMBAPO YEYE NI MWENYEKITI TAIFA
Maridhiano hayo awali yalianza baada ya Rais Samia kuunda kikosi kazi cha kuishauri serikali kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Lakini maridhiano yalitiwa chachu baada ya kikao cha kwanza kati ya Rais Samia na Mbowe kukutana Ikulu, Machi 04, 2022 siku ambayo Mbowe alitoka gerezani baada ya Serikali kuifuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili mwanasiasa huyo.
Kati ya mambo ambayo Chadema waliyapeleka kwa Rais na kutaka yarekebishwe haraka ni pamoja na kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa wa Chadema, jambo ambalo kwa asilimia kubwa limeshafanyika.
Jambo la pili ni kuweka usalama kwa wakimbizi wa kisiasa waliokimbia nchi. Tayari viongozi wa Chadema waliokimbia nchi wamesharejea. Viongozi hao ni Tundu Lissu, Ezekia Wenje na Godbles Lema.
Jambo la tatu lililodaiwa na Chadema ni kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ambapo tayari Januari mwaka huu, Rais Samia ameondoa zuio hilo.
Jambo la nne ni upatikanaji wa Katiba mpya ambapo mpaka sasa mchakato haujaanza.
View attachment 2538065
Wewe unaleta udini humu.Marekani ndo sponsors wa haya machafuko dogo. Muombe mungu urusi awe baba wa Dunia machafuko yote duniani yataisha. We ndo hujui kitu
Mkuu kwanini usianzishe na wewe chama chako ili urambe asali? Usitegemee binadamu kukutatulia shida zako na acha wivu.Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.
Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?
Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.
Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano hilo litakalofanyika Machi 08 Moshi mkoani Kilimanjaro.
“Kongamano hili la siku ya wanawake duniani ni la wanawake wote, lakini hapa Tanzania, Bawacha wamekuwa wakiliandaa kwa mafanikio makubwa kila mwaka na wamekuwa wakitoa hotuba zenye jumbe mbalimbali zinazowahusu wanawake wote bila kujali itikadi za vyama vyao.
“Napenda kuwatangazia kuwa Rais Samia ambaye nilikuwa na mazungumzo naye jana Jumamosi, amekubali kuwa mgeni Rasmi siku hiyo na mimi nitampokea mjini Moshi siku hiyo,” alisema Mbowe
Rais Samia kukubali kuhudhuria na kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano linaloandaliwa na chama kikuu cha upinzani ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yanayoendelea kufanywa na chama chake (CCM) na Chadema.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAPUNGIA WAJUMBE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YA CHAMA CHAKE (CCM) AMBAPO YEYE NI MWENYEKITI TAIFA
Maridhiano hayo awali yalianza baada ya Rais Samia kuunda kikosi kazi cha kuishauri serikali kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Lakini maridhiano yalitiwa chachu baada ya kikao cha kwanza kati ya Rais Samia na Mbowe kukutana Ikulu, Machi 04, 2022 siku ambayo Mbowe alitoka gerezani baada ya Serikali kuifuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili mwanasiasa huyo.
Kati ya mambo ambayo Chadema waliyapeleka kwa Rais na kutaka yarekebishwe haraka ni pamoja na kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa wa Chadema, jambo ambalo kwa asilimia kubwa limeshafanyika.
Jambo la pili ni kuweka usalama kwa wakimbizi wa kisiasa waliokimbia nchi. Tayari viongozi wa Chadema waliokimbia nchi wamesharejea. Viongozi hao ni Tundu Lissu, Ezekia Wenje na Godbles Lema.
Jambo la tatu lililodaiwa na Chadema ni kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ambapo tayari Januari mwaka huu, Rais Samia ameondoa zuio hilo.
Jambo la nne ni upatikanaji wa Katiba mpya ambapo mpaka sasa mchakato haujaanza.
View attachment 2538065
Hii ndo dini ya mnyazi mungu tunataka muslimu ili msije ikosa Pepo. Ukifa mkristo unaingia motoni mojakwamoja ndo mana Huwa tunataka msiende hukoWewe unaleta udini humu.
Wakati iyo dini yenu ndio inaongoza kwa watu kujitoa muhanga eti mfia dini.kwamba ukifa na makafili unaenda peponi. Huwa mafundishana uadui toka mpo madrasa ndio maana mmjaa chuki
Ila Lema hatakiSafi Sana CHADEMA, naona mmebadilisha approach ya Vita.
Msiba umeanza upya maana marehemu aliwahikikishia Nchi hii ni Mali yaoSukuma gang wanatafuna mashuka huko
Ni uthibitisho kuwa Viongozi wakuu wa Chadema wamelamba asali.
Rais anayeendelea kuwakumbatia wanawake 19 waliofoji nyaraka za chama, wakafukuzwa uanachama na bado anawakingia kifua ili wabaki bungeni waendeelee kula kodi za wananchi utamwalikaje kwenye kikao cha wanawake watiifu kwa chama?
Mbowe anaigeuza Chadema kuwa tawi la CCM.
Na ni ushahidi kuwa akina Mbowe wanampigia kampeni ya urais Samia in exchange ya viti vichache vya ubunge watakavyogawana akina Mbowe na genge lake.
Sawa mama kikwete.Kikwete sio muislamu ila amelelewa mazingira ya dini ya kiislam
Hii ndiyo njia JPM alitakiwa kuitumia Kuiua CHADEMA na si ile aliyoitumia!
Ni swala la Muda tu, watanzania wataamua watakavyo pigia chama gani katika uchaguzi Mkuu!
Maisha yanakwenda kwa kasi sana!
Uneweka na picha ya mbowe alafu unaongea pumba hivi. 😂😂😂😂Kwa hivyo watanzania hawataipigia kura CHADEMA kisa imemwalika rais wa nchi kwenye mkutano wa BAWACHA?. Wakati CHADEMA wanalimwa risasi na kesi za m hongo hao wananchi walikuwa wapi?, Acha kuwasingizia wananchi kwa Jambo ambalo sio lao.
Congo tangu nimezaliwa , wale wahuni wanapigana.Nitajie nchi zimazoongoza kwa machafuko duniani ni nchi za dini gan ndio utapata jibu
All in all upinzani sio chama wameonyesha tamaa yao sasa wanajali matumbo tukomae hukuhuku Ccm
Ila mama yetu anajua kula na kipofu hongera kwake
Naunga mkono kabisa.Tena wote wawe waislam kwa sababu waislam ni watakatifu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, amesema Rais Samia amethibitisha kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano hilo litakalofanyika Machi 08 Moshi mkoani Kilimanjaro.
“Kongamano hili la siku ya wanawake duniani ni la wanawake wote, lakini hapa Tanzania, Bawacha wamekuwa wakiliandaa kwa mafanikio makubwa kila mwaka na wamekuwa wakitoa hotuba zenye jumbe mbalimbali zinazowahusu wanawake wote bila kujali itikadi za vyama vyao.
“Napenda kuwatangazia kuwa Rais Samia ambaye nilikuwa na mazungumzo naye jana Jumamosi, amekubali kuwa mgeni Rasmi siku hiyo na mimi nitampokea mjini Moshi siku hiyo,” alisema Mbowe
Rais Samia kukubali kuhudhuria na kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano linaloandaliwa na chama kikuu cha upinzani ni matunda ya maridhiano ya kisiasa yanayoendelea kufanywa na chama chake (CCM) na Chadema.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAPUNGIA WAJUMBE KWENYE MOJA YA MIKUTANO YA CHAMA CHAKE (CCM) AMBAPO YEYE NI MWENYEKITI TAIFA
Maridhiano hayo awali yalianza baada ya Rais Samia kuunda kikosi kazi cha kuishauri serikali kuhusu mwenendo wa kisiasa nchini.
Lakini maridhiano yalitiwa chachu baada ya kikao cha kwanza kati ya Rais Samia na Mbowe kukutana Ikulu, Machi 04, 2022 siku ambayo Mbowe alitoka gerezani baada ya Serikali kuifuta kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili mwanasiasa huyo.
Kati ya mambo ambayo Chadema waliyapeleka kwa Rais na kutaka yarekebishwe haraka ni pamoja na kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa wa Chadema, jambo ambalo kwa asilimia kubwa limeshafanyika.
Jambo la pili ni kuweka usalama kwa wakimbizi wa kisiasa waliokimbia nchi. Tayari viongozi wa Chadema waliokimbia nchi wamesharejea. Viongozi hao ni Tundu Lissu, Ezekia Wenje na Godbles Lema.
Jambo la tatu lililodaiwa na Chadema ni kuondoa zuio la mikutano ya hadhara ambapo tayari Januari mwaka huu, Rais Samia ameondoa zuio hilo.
Jambo la nne ni upatikanaji wa Katiba mpya ambapo mpaka sasa mchakato haujaanza.
View attachment 2538065
Naiona serikali ya mseto kwa siku za usooni.
Mbowe Waziri Mkuu
Tundu Lissu Waziri wa Sheria
Godblesss Lema Waziri wa Mambo ya Ndani
Hao ni kwa uchache.
Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni kabla ya 2025.
Serikali tatu znakuja.
Hata hivyo, Mama awe makini sana CCM hawapendi haya mambo.
Wanasiasa wa upinzani watalazimika kuunda serikali moja na CCM Kama njia ya rahisi ya kupunguza nguvu za dola za CCM na pia ni kwasababu watanzania wamekuwa waoga kupambana na dola kuindoa CCM madarakani
Mtanielewa yakitimia.
Nimemaliza.
actually that's correct reasoningMissile, do not speculate untill you spectate. Sikudhanii kama unaweza kuwa na such reasoning
Punguza hasira. CCM ifanye kazi yake, wengine wajipange kuchukua ofisi. Maswala ya Kenge anajichanganya na mamba, alafu mmasema raisi wa watanzania. Vipo vyama vinaunganisha watanzania wanawake. Sio mwana CCM kuwa mgeni rasmi kwenye kikao cha chadema. Ni trash hii.
Samia apewe PhD ya heshima ya Siasa.