Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

Mama yenu na nani?

Dunia ipi hiyo inatambua uwezo wake mkubwa kiakili wakati kidato cha nne tu alipata Bashite?

Hiyo elimu Samia anaenda kuitoa kwa nani wakati ya nchini kwake tu yanamshinda! unafikiri ulaya huko unaweza kuwakatia watu umeme masaa hata 2 ukabaki salama??
Your browser is not able to display this video.
 
Awe macho wasije msainisha mikataba ya ovyo huko. Wanajua uwezo wake mdogo ndio wanamtangulizia uenyekiti na mavyeti ya kuzuga. Januari atatumaliza jamani.
Rais Huwa anasaini mikataba tangu lini wewe nyumbu
 
Marekani yenyewe umeme unakatika. Sema kwa kuwa umbumbumbu umekujaa kichwani huwezi ukaelewa haya. Kukatika kwa umeme ni hitilafu tu ambayo inaweza kutokea popote pale.
 
Lucas hebu tupumzisheni na hizi taarifa zinazoliangamiza Taifa kwa matumizi mabaya ya kodi za Watanganyika masikini!!

Hebu baki nazo wewe hizo taarifa please
 
Marekani yenyewe umeme unakatika. Sema kwa kuwa umbumbumbu umekujaa kichwani huwezi ukaelewa haya. Kukatika kwa umeme ni hitilafu tu ambayo inaweza kutokea popote pale.
Marekani ipi hiyo wewe??

Yaani marekani kuna mgao kama huo wa TANESCO??
 
Akirudi huko lazima awauzie ardhi wafaransa.alienda omani mara mbili akawauzia sehemu mbili ya bandari na kufukuza wa masai.huyu mama anataka kuiuza Tanzania nzima Kwa mabeberu
 
Dunia ina imani naye, sisi Tanzania tunamuachaje?

Aondoe ushuru kwenye mitungi ya gesi, walau ile midogo midogo
 
Akirudi huko lazima awauzie ardhi wafaransa.alienda omani mara mbili akawauzia sehemu mbili ya bandari na kufukuza wa masai.huyu mama anataka kuiuza Tanzania nzima Kwa mabeberu
Acha kuongea vitu vya kizushi na uongo.
 
Mambo ya kitapeli ndiyo linaweza...wewe ni hilo kufeni haraka. mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto
 
na yeye ndiye ameionyesha njia Dunia na kuipa
Acha uwongo na ulongo, suala la nishati ni mkakati wa kidunia ulioanzishwa na wenye akili huko mambele. Samia hana misuli ya kiakili ya kuisukuma dunia. (Wadanganye mazuzu wa huko Lumumba tu).

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…