Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Chawa wa mama salamaaa?
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo😂😂😂
Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha😂