Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Your browser is not able to display this video.
Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha๐
Mkuu una imani kuBwa katika miujiza. Hivi kweli unaamini huyu mama atashindwa uchaguzi au unaamini hatagombea?
Hii imani yako ni ile ya kuambia mlima kilimanjaro ukajitose baharini.
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Mkuu una imani kuBwa katika miujiza. Hivi kweli unaamini huyu mama atashindwa uchaguzi au unaamini hatagombea?
Hii imani yako ni ole ya kuambia mlima kilimanjaro ukajitose baharini.
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Kila mkipigwa na msumari wa moto basi ni CHADEMA? Mama anajua kutoka moyoni kabisa (kwa sauti ya Magu) kuwa Oktoba hatoboi.... wale wavaa magwanda wakiamka kutoka usingzini waache kutumiwa ovyo ndio kabisa wataenda kuwa wakimbizi kama akina Lema kipindi kile ๐ maana kila sehemu wameharibu
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
samia ndoto anazoota zilisha mwonesha kwamba urais wake mwisho ni Oktoba 2025. Kukosea kusema hivyo haijatokea kwa bahati mbaya, kwenye ulimwengu wa roho alishaonyeshwa kitu.