Rais Samia kuzindua mradi wa bwawa la umeme wa Mwl Nyerere

Rais Samia kuzindua mradi wa bwawa la umeme wa Mwl Nyerere

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, Mkoa wa Pwani.
 
Inasikitisha Sana kodi zetu zinatumika vibaya kulipana fedha za safari/PerDIEM.
 
Yeye hakuna mradi wake hata mmoja.

Wazambia wamemchana huko
Wamesema nchi yao ni ya Kikristo wasilete mambo ya Tanzania.

"Wanasema Tanzania ilikuwa ardhi ya ukombozi wa Nchi za kusini mwa Africa Leo wameingiza Mamluki kwenda kuiiba uchaguzi."

Huu ni Ujmbe mkali sana,
 
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, Mkoa wa Pwani.
WITO KWA WAZIRI WA NISHATI KABLA YA UZINDUZI WA JNHPP

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, tarehe 22 Agosti 2026 katika eneo la mradi Rufiji, Mkoa wa Pwani.

Kabla ya kufanyika kwa uzinduzi huu mkubwa wa mradi wa JNHPP, tunamwomba Mhe. Waziri wa Nishati afanye ziara katika Wilaya ya Chunya, hususan maeneo ya Mkwajuji, Matundasi, Itumbi, Matondo, Saza na Makongosi, ili ajionee mwenyewe hali halisi ya wananchi wanaoishi katika maeneo haya.

Wananchi wa maeneo haya bado wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosekana kwa umeme, huku baadhi ya maeneo yenye umeme yakipata umeme dhaifu ambao hauwezi kuendesha mashine, pampu za maji, karakana, viwanda vidogo na shughuli nyingine za kiuchumi.

Ni jambo la msingi kwamba tunapojivunia kuzalisha zaidi ya MW 2,000 kupitia JNHPP, mafanikio hayo yaonekane pia kwa mwananchi wa kijijini anayehitaji umeme wa uhakika kwa ajili ya maendeleo yake.

Umeme si suala la kuwa na nyaya na nguzo pekee; umeme una maana pale unapofika kwa uhakika na kwa nguvu inayowezesha shughuli za wananchi.

Tunamuomba Mhe. Waziri atembelee Chunya kabla ya uzinduzi, asikilize wananchi na ajionee hali halisi. Hii itasaidia Serikali kuona changamoto zilizopo na kuchukua hatua za kuhakikisha maeneo haya yanapata umeme wa uhakika na wenye ubora.

JNHPP iwe si fahari ya Taifa pekee, bali iwe sehemu ya mwanzo wa kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na umeme wa uhakika.

Chunya inahitaji umeme wa uhakika ili iweze kuchangia kikamilifu katika uchumi wa Taifa.
 
Mradi wa samia ni.
1. Kuteka.
2. Kuua.
3. Kupora Uchaguzi.
4. Kulawiti.
5. Kusingizia Kesi akina Lissu.
6. Kesi za Uhaini.
7. Kesi za Ugaidi.
8. UPUMBAVU
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 13
Afadhari yawezekana unit ikauzwa tsh 30 maana umeme upo wakumwagia 2000+1500 zilizopo apo huakika
 
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Ukiona wanalizindua kila mara, ujue hawana jipya bali wanatafuta sehemu za kutafutia kiki za kisiasa baada ya kupora madaraka na umwagaji damu.
 
Back
Top Bottom