Rais Samia kuzindua mradi wa maji Mlandizi - Chalinze - Mboga 22 Machi, 2022

Rais Samia kuzindua mradi wa maji Mlandizi - Chalinze - Mboga 22 Machi, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Kwa niaba ya Wananchi wako wa Chalinze mimi mtumishi wao Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ninakukaribisha Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Jimboni kwetu kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi-Chalinze-Mboga wenye thamani ya Billioni 18. Tumejiandaa kukupokea na Kukushukuru kwa mambo makubwa unayoendelea kutufanyia Watanzania.

Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

FB_IMG_1647859829280.jpg
 
Mama yuko Kazini, esho tutakuwa nae Mlimani City.
 
Maji yanatoka mgeni rasmi akiwepo akiondoka tu wanaweka mchanga kwenye mabomba.
 
Hongereni sana, ndio upande upi huo, maana naonaga mabomba na nguzo za umeme zimelala karibu hata miaka 4 sasa.
 
Weka picha na details za mradi tuone, sio kutulisha matango pori kila siku kumbe kampeni
 
Back
Top Bottom