Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na badae atafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema mbali na mkutano huo wa hadhara, Rais atapita Kwa sadala, Kiboroloni, njia panda ya himo wilayani Moshi wakati akielekea Mwanga.
Babu amesema kuwa, mradi huo wa maji ambao kwa awamu ya kwanza umetumia zaidi ya shilingi Bilioni 300 umeanza kuwanufaisha wananchi wa wilaya ya Mwanga na Same.