Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
WanaJf,
Salaam!
Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-
(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;
(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;
(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;
(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;
Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.
Msakila Kabende
Kakonko
Mkuu una kumbukumnu fupi...WanaJf,

Chadema wanatumia akili sio MakalioWanaJf,

Endelea kupiga ramliHapo kwenye (d) ni mkakati maalum, na kesho utasikia hao COVID19 wamesamehewa na kamati kuu ya chama chao kisha mama atakua kama amewasuluhisha alafu imeisha hiyo.
Sukuma Gang na roho zenu za uhasama na umasikiniWanaJf,
Salaam!
Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:-
(a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani;
(b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi;
(c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi;
(d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa bendera za CDM na yeye kuongozwa na itifaki za CDM siku hiyo;
Kwa mlolongo huu kile kideko cha CDM kitaigharimu CCM. Lkn pia tujiulize kwa nini SABAYA anasota gerezani wkt alitenda mengi yaliyoipa faida CCM!!! Kama mama ana roho ya huruma amwangalie SABAYA lkn pia asimudekeze CDM.
Msakila Kabende
Kakonko
Ni kweli mimi ni jitu katili Ila CDM ni katili zaidiMtoa hoja acha upumbavu wako, onyesha kidogo kuwa unashirikisha ubongo kwenye maamuzi yako, elewa yafuatayo;president Samia ni wa Tanzania SIO ccm, kaalikwa pale kama Rais wa watanzania wote, centre of power ya nchi ipo Lumumba street sio Magogoni!,na yote hapo juu inajidhihirisha kuwa nchi hii ni shithole country, hayo yote uliyoyaorodhesha ni majukumu ya mahakama sio politicians!,courts zetu zipo zimetekwa na wanasiasa!,mtoa hoja inaonekana wewe ni jitu katili sana na ulikuwa na furaha kubwa kuona Mh.Mbowe akiwa jela, wakati wewe umekaa na wapendwa wako, pumbavu sana
Furaha yako kuwaona binadamu wenzio wanaishia segerea max prison wakati wewe umefwata mkia wako wa kizuzu na uoga ,never katika maisha haya utegemee other guy's to do battles kwa niaba yako, toka nje kapiganie haki yako kama unaona haipo SawaNi kweli mimi ni jitu katili Ila CDM ni katili zaidi
Hata sipajui, mkikosewa kidogo kelele mpk UN ninyi mkikosea wengine raha! Why mmembambikizia kesi Sabaya?Sukuma Gang na roho zenu za uhasama na umasikini
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe kweli ni Kabende, nina wasiwasi pia kama akili yako inayo akili.WanaJf,