MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Rais Samia wewe ni mshirika dhaifu kwenye huu ushirika, kaa pembeni(nawa mikono) kabla hawajaanza kukulazimisha kufanya mambo yao kwa gharama ya maisha na uhai wa watu wako uwapendao, watoto wako na ndugu zako.
Usipozikiliza ushauri wa Wazalendo na waliojitolea maisha yao kwa ajili ya Taifa letu, watathibitisha wewe ni sehemu ya mabaya na maovu yanayotokea kwenye Taifa hili, basi Ukiwa mbinguni au Duniani utatoa machozi kwa kitakachowakuta akina Abdul.
Kwa sasa juhudi ya kuwafikishia Elimu ya Uraia/Siasa vijana ndani ya vyombo inaendelea kwa kasi, na utaratibu wa namna ya kuwaunganisha na kuratibu tendo zito mbele yetu na kubwa unakuja