wanamtandao ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya Polepole sasa anayewindwa ni Lissu. Lissu anatakiwa kulindwa kuliko kitu chochote

    Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu. Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa. Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona...
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote wenye akili timamu adui yetu tunamjua Ila lawama kazibeba Mama. Huyu mama namuonea huruma sometimes

    Watanzania, adui yetu tunamjua. Tatizo ni kwamba tayari ameshameza mifumo yote ya nchi, vyombo vya dola na mihimili yote viko chini yake. Juzi Mwenda Pole alitupa kama wake up call, akitaka tuamke, lakini bado tuko usingizini. Wengi wanamlaumu Mama, lakini ukweli ni kwamba huenda naye kamezwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Si Ni Juzi Tu Nmetoka Kuuliza Apa Jukwaan kuhusu Msanii Namba Moja Nchini Kuwa Miongoni Mwa Wana mtandao?! Nadhan Jibu lmepatikana Jana!

    Tokea Nizaliwe ndoto zangu hazijawahi kwenda wrong! Mimi sio kama wale wengine kina Britannica, wakiota ndoto zao hazitokei 😂
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa faida yako, kaa mbali na Nchimbi na washirika wake

    Rais Samia wewe ni mshirika dhaifu kwenye huu ushirika, kaa pembeni(nawa mikono) kabla hawajaanza kukulazimisha kufanya mambo yao kwa gharama ya maisha na uhai wa watu wako uwapendao, watoto wako na ndugu zako. Usipozikiliza ushauri wa Wazalendo na waliojitolea maisha yao kwa ajili ya Taifa...
Back
Top Bottom