Watanzania wote wenye akili timamu adui yetu tunamjua Ila lawama kazibeba Mama. Huyu mama namuonea huruma sometimes

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Watanzania, adui yetu tunamjua.

Tatizo ni kwamba tayari ameshameza mifumo yote ya nchi, vyombo vya dola na mihimili yote viko chini yake.

Juzi Mwenda Pole alitupa kama wake up call, akitaka tuamke, lakini bado tuko usingizini. Wengi wanamlaumu Mama, lakini ukweli ni kwamba huenda naye kamezwa na anaconda hiyo hiyo.

Sizani kama anapenda haya yanayoendelea, ila kuna shinikizo kubwa nyuma ya pazia.

Badala ya kulaumiana, tulipaswa kutafuta chanzo cha haya yote.

Kama Mwenda Pole alivyosema, kazi sasa imebaki mikononi mwetu.
 
Watanzania adui yetu tunamjua Ila ndo ivyo kameza mifumo yote vyombo vya dola vyote mihimili yote kaimeza. Mwenda Pole juzi alikua anatupa kama wake up call sema Watanzania kwamba amkeni pungezi kulala Mama mnaweza kumlaumu bure tu nae kamezwa na anaconda sizani kama mama anapenda aya ila lazima nyuma kuna shinikizo tullitakiwa kutafuta chanzo cha Ayo yote ni nani? Kama mwenda Pole alishatwambia kazi imebakia kwetu sisi.
Mh imekaaje kitaalamu
 
Mshaanza kua waoga masifa kibao sasa hapa umeandika ujinga gani
 
Watanzania adui yetu tunamjua Ila ndo ivyo kameza mifumo yote vyombo vya dola vyote mihimili yote kaimeza. Mwenda Pole juzi alikua anatupa kama wake up call sema Watanzania kwamba amkeni pungezi kulala Mama mnaweza kumlaumu bure tu nae kamezwa na anaconda sizani kama mama anapenda aya ila lazima nyuma kuna shinikizo tullitakiwa kutafuta chanzo cha Ayo yote ni nani? Kama mwenda Pole alishatwambia kazi imebakia kwetu sisi.
SISIEM mtandao
 
Kwa zile speech zake, na yeye yupo miongoni mwao. Damu walizomwaga lazima watazilipa.
 
Kwanza mnakosea kumuita mama, mama ni mlinzi wa kizazi chake. Huyu ni shetani mnyonya damu.

Pili, msimvue lawama. Kila lililotokea ni kwa baraka zake. Na daima muonja mnofu wa nyama ya mtu huishia kula mwili mzima. Huu ndio mwanzo tu. Katika uhai wake atakunywa damu za wengi mno.

Huyu keshasaini mkataba na shetani, damu zetu ndio kafara anazolisha mapepo yake.

Uzuri wa shetani akikinai kafara huishia kula mtoa kafara, ni swala la muda tu, na yeye ataishia kuwa kafara.
 
Watanzania adui yetu tunamjua Ila ndo ivyo kameza mifumo yote vyombo vya dola vyote mihimili yote kaimeza. Mwenda Pole juzi alikua anatupa kama wake up call sema Watanzania kwamba amkeni pungezi kulala Mama mnaweza kumlaumu bure tu nae kamezwa na anaconda sizani kama mama anapenda aya ila lazima nyuma kuna shinikizo tullitakiwa kutafuta chanzo cha Ayo yote ni nani? Kama mwenda Pole alishatwambia kazi imebakia kwetu sisi.
APELEKWE ICC MUUAJI MKUBWA KUM@ M@KE
 
Back
Top Bottom