Tetesi: Baada ya Polepole sasa anayewindwa ni Lissu. Lissu anatakiwa kulindwa kuliko kitu chochote

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu.

Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa.

Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona Samia hawezi kuinuka tena. Wanapanga kumuweka Nchimbi lakini siyo hivyo tu wanataka kwanza kumuondoa Lissu, ili Nchimbi akikuwapo asiwe na mtu wa kumpa misukosuko ya siasa na aliye na maono ya kweli ya Tanzania.

Nawaonya sana: msijaribu hata kumgusa Lissu. Hii nchi inaweza kuwa moto ikiwa mtafanya makosa. Huyu mtu si tu mpinzani, ni mbeba maono ya Tanzania ya haki, maendeleo, na demokrasia.

Mwananchi yeyote anayemchoma au kumpigia vita Lissu, natabiri madhara makubwa: Tanzania inaweza kuungua vibaya.

Malizeni matatizo yenu kwa ndani yenu, lakini msiwachukulie Lissu kama adui. Achaneni na Lissu. Achaneni na maono yake.
 
Samia akiuondoka ana ondoka na Nchimbi wake, labda mnatafuta vita za ndani kwandi civil war, Genge la CCM lote liondoke hamn mwenye unafuu.
 
Hizi mbona sio Tetesi.
TAL hawezi kuendelea kuishi kama mpinzani na kama siasa za bongo hazitabadirika.

Ni either ashinde vita, Utawala uanguke, arudi Ng'ambo, Au Ataenda Ambako hawarudi.

lkn at the end, We all gona GO!
 
Binafsi siwapendi CCM na sijawahi kuwa upande wao ....ila we mjamaa una habari za propaganda sana wageni wa JF muwe makini kuchuja habari za humu ndani samjo na story za vijiweni nyingi sana.
Wacenge wacenge wengi sana humu
 
Na hao ndo maadui wa Tanzania nina imani watafikiwa mapema sana na Gen-Z kabla ya wao kumfikia Lissu yule boss wa mtandao ndo anatakiwa kua Taget kubwa
 
Wakimgusa lisu italeta mauwaji makubwa mno Mungu aapishie mbali.
 
Wacenge wacenge wengi sana humu
20250719_192454.jpg
 
Huyo lisu cho.ko tuh km macho.ko wengine

Yuko zaidi ya miezi sita jela ataifanya nini dola?

Yeye fa.la si alisema anataka kukinukisha?

Amekinukisha na watu wake wahalifu wamechezea shaba,aogopwe yeye ni nani.
 
Back
Top Bottom