Rais Samia kwa faida yako, kaa mbali na Nchimbi na washirika wake

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Rais Samia wewe ni mshirika dhaifu kwenye huu ushirika, kaa pembeni(nawa mikono) kabla hawajaanza kukulazimisha kufanya mambo yao kwa gharama ya maisha na uhai wa watu wako uwapendao, watoto wako na ndugu zako.

Usipozikiliza ushauri wa Wazalendo na waliojitolea maisha yao kwa ajili ya Taifa letu, watathibitisha wewe ni sehemu ya mabaya na maovu yanayotokea kwenye Taifa hili, basi Ukiwa mbinguni au Duniani utatoa machozi kwa kitakachowakuta akina Abdul.

Kwa sasa juhudi ya kuwafikishia Elimu ya Uraia/Siasa vijana ndani ya vyombo inaendelea kwa kasi, na utaratibu wa namna ya kuwaunganisha na kuratibu tendo zito mbele yetu na kubwa unakuja
 
Usipozikiliza ushauri wa Wazalendo na waliojitolea maisha yao kwa ajili ya Taifa letu, watathibitisha wewe ni sehemu ya mabaya na maovu yanayotokea kwenye Taifa hili, basi Ukiwa mbinguni au Duniani utatoa machozi kwa kitakachowakuta akina Abdul.🥺🥺🥺🤔
 
Huyu lolote baya na watu wake limkute, mikono yake imejaa damu za Watanganyika.
 
Kinachomshinda huyu mama kujiengua ni nini?akijiengua hajui nchi itatulia?
Mwanadamu gani anachukiwa kwenye kila pembe ya nchi?sijawai kuona au labda kweli wanamuhujumu!
Maana hii sio kawaida!
Watu wamejua kumchukia huyu mama sana!Asilazimishe ni laana
 
Bi kiziwi tena
 
Au sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…