Rais Samia kwa faida yako, kaa mbali na Nchimbi na washirika wake

Sasa msukule km ww aliyejificha nyuma ya keyboard utamshauri Samia? Jitathmini jitambue bwanamdogo
 
Watu wamejua kumchukia huyu mama sana!Asilazimishe ni laana
Nimeshangaa sana Bibi yangu siku hizi hadi Stars ikishinda hashangilii namuuliza Bibi vipi kwanini hushangilii ananiambia "huko Sa100 anapigiwa simu muda huu na baada ya hapo utaona Viongozi wanavyoongea "Pongezi za ushindi huu ziende kwa Mheshimiwa Mama..", Bibi ni CCM zao la TANU yeye alianza kua na kadi ya TANU baada ya Bibi TITI Mohamed enzi hizo kabisa ila Sa100 hamuelewi sijajua kwanini
 
We mbwa koko ndiyo kila mtu? Mmeshashikwa pabaya kwisha hbr yenu, Samia ndiyo Rais wetu nyie mambwa koko subirini 2030.
 
Mvua na ijeee!

Ewe kiongozi mkuu, ni kweli upo chama tawala, kinachonisikitisha sasa, watu walioko huko ikifikia Mungu amewapenda zaidi, wananchi badala ya kuhuzunika kwamba amekufa kiongozi wao wanafanya sherehe mtaani tena kwa maandamano kufurahia tendo la kifo kwa binadamu mwenzao

Hiyo ni ishara kuwa, Kwa sasa hivi mtu aliyeko ccm siyo kwamba si binadamu, ila matendo maovu mnayowatendea wananchi, wanawaona ni kama mashetani wala watu na sitahiki yenu ni kuzomewa mkifa

Hii ndiyo adhabu ya kwanza duniani na kisha adhabu ya Mungu huko akhera enyi ccm wote
 
Haahaa ccm mtandao...
 
Sisi wengine yetu macho 👀 tu na masikio👂
Hatuna kingine.
 
Huyu lolote baya na watu wake limkute, mikono yake imejaa damu za Watanganyika.
Na mie nawashangaa sana hawa wanaouliwa na wanamtandao, kwani wao wanawauaje na kama wao wanauwawa ni kwanini na wao wasianze kuwachomoa mmoja mmoja maana kama ni hasara basi na iwe hasara tu ...kama mbwai na iwe mbwai.

Haiwezekani nyie muendelee kuuwawa alafu mmekaa tu mnaangalia kama makondoo. Fanyeni kazi, na nyie ingieni uvunguni. Hao wenzenu hawana utani na msiposhtuka mtauwawa mmoja mmoja mpaka muishe
 
We mbwa koko ndiyo kila mtu? Mmeshashikwa pabaya kwisha hbr yenu, Samia ndiyo Rais wetu nyie mambwa koko subirini 2030.
Tukana mpaka umalize matusi yote, ila ukweli mchungu ni huo, hapendwi kabisa na watanganyika, na nyie machawa ndo mmechangia pakubwa kumharibia.
 
Samia Nchi Hii hadi sasa Rais hashitakiwi kwa hiyo usiogope kufanya uamuzi wa faida ya hili Taifa, unatumika kama Ngazi ya Nchimbi.

Tunakukumbusha, Kuwa Nchimbi alipendekezwa arudi Tanzania haraka sana baada ya Kifo cha Magufuli, ila kusubiri upepo akasogezwa karibu yako taratibu.

Kesho unaenda kumchukulia Nchimbi fomu, kama tutatumia nguvu yako ya Urais, kwa sasa tunaanza utaratibu Rasmi wa kuvunja CCM tuanze upya
 
Unaongea tu Mzee sio rahisi kihivyo ,

Uraisi ni kitu kizito sana waliokupa power hawawezi kukubali uachie madaraka wakati Uwepo wako katika mamlaka ni nafasi inayo wapa mianya ya kupiga Hela wanaweza kukuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…