Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Unafeli. Kwamaana hiyo uliyoitoa, hakutakiwa kuongea lolote. Kuambiwa una kifua maana yake unauwezo wa kunyamaza mahali ambapo asiye na kifua angezungumzaMama katumia fasihi pia. Kifua ni mahali pa kumeza vitu hata vigumu. Kama ni kweli Jeshi kafanyiwa hata nusu ya Yale aliyofunguka, basi ana kifua.