Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Dec 6, 2021 #41 mama kubwa said: Mama katumia fasihi pia. Kifua ni mahali pa kumeza vitu hata vigumu. Kama ni kweli Jeshi kafanyiwa hata nusu ya Yale aliyofunguka, basi ana kifua. Click to expand... Unafeli. Kwamaana hiyo uliyoitoa, hakutakiwa kuongea lolote. Kuambiwa una kifua maana yake unauwezo wa kunyamaza mahali ambapo asiye na kifua angezungumza
mama kubwa said: Mama katumia fasihi pia. Kifua ni mahali pa kumeza vitu hata vigumu. Kama ni kweli Jeshi kafanyiwa hata nusu ya Yale aliyofunguka, basi ana kifua. Click to expand... Unafeli. Kwamaana hiyo uliyoitoa, hakutakiwa kuongea lolote. Kuambiwa una kifua maana yake unauwezo wa kunyamaza mahali ambapo asiye na kifua angezungumza
Dong Jin JF-Expert Member Joined Jun 4, 2018 Posts 968 Reaction score 2,034 Dec 6, 2021 #42 Kwani kale kavideo ka hamo akimjegeja pau kalimfikia na bi mkubwa? Km alikapata, nani alimpa koneksheni?! Maana huku kusifia sio kwa nchi hii...
Kwani kale kavideo ka hamo akimjegeja pau kalimfikia na bi mkubwa? Km alikapata, nani alimpa koneksheni?! Maana huku kusifia sio kwa nchi hii...
Gef JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 500 Reaction score 433 Dec 6, 2021 #43 adriz said: Bongo vituko haviishi.. Click to expand... Na ndo mana sitaki kuhama