Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jo mimi ninaamini hakuna mtu ambaye anaweza kukudharau na kukupangia mambo yako kama wewe mwenyewe hupendi kupangiwa......

Tanzania ni nchi huru na tunawakumbusha tu marafiki zetu wote kuwa uhusiano mwema ni "politeness" na si "order ".

Wazungu ,wachina ,wajapani na waarabu ni marafiki zetu katika ubinadamu na katika maendeleo 😍

#Tanzania kwanza 😍
 
Back
Top Bottom