Leo Rais Samia amepiga simu live kwenye mkutano wa Tanzania Personal Secretaries Association ambapo Makamu wa Rais Philip Mpango alikuwa ni mgeni rasmi.
Rais Samia akiwa anaongea na hao wana TAPSEA aliwahasa watumisi hao wakajiandikishe ili aweze kumrudisha madarakani
"Huu ni mwaka wetu maalum. Ni mwaka maalum wa kumrudisha mama ili tuendelee kufanya mambo yetu. Kwa hiyo niwaombe sana kwa wale ambao hawajerekebisha taarifa zao, wale ambao hawajajiandikisha wakajiandikishe, tukachukue na tuweke"