Rais Samia kwa ulivyopanga, kuratibu na kufanikisha kikamilifu kwenye mkutano mkuu CCM Dodoma, you are the smartest president in history of tanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye

You took them by surprise very much unprepared!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.

Samia judging you by any standard you remains the most intelligent president in history of Tanzania

Kudos Samia
 
Hatumpimi rais wa nchi kwa kuratibu vyema mkutano wa ccm , hapo labda ni smartest mwenyekiti wa ccm in the history of ccm.

Watanzania tutaanza kumpima Samia kama ni rais wa nchi ambaye ni bora kuliko marais waliopita au laaa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Wadau hamjamboni nyote?

Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye

You took them by surprise very much unprepared!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.

Samia judging you by any standard you remains the most intelligent president in history of Tanzania

Kudos Samia
Angeruhusu Ushindani asingetoboa.....nimekaa niko pale
 
Wadau hamjamboni nyote?

Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye

You took them by surprise very much unprepared!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.

Samia judging you by any standard you remains the most intelligent president in history of Tanzania

Kudos Samia
How is intelligence measured? Like u do? No plz I think you are sent and been used as a toilet paper. Smartest for what? Confiscating and paying haulers? It is you that with a small IQ can term even weakest people as intelligent
 
Enlightened us first regarding the best measure of intelligence!
 
How is intelligence measured? Like u do? No plz I think you are sent and been used as a toilet paper. Smartest for what? Confiscating and paying haulers? It is you that with a small IQ can term even weakest people as intelligent
You really need to improve your writing skills
 
Wadau hamjamboni nyote?

Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye

You took them by surprise very much unprepared!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.

Samia judging you by any standard you remains the most intelligent president in history of Tanzania

Kudos Samia
She is not the smartest in the record pls punguza uchawa. Ni mazingira yanayo mbeba, lakini kama angekuwepo kwenye competitive enviroment, kama alizokutana nazo jpm or j.k.nyerere ndio kipimo halisi

Otherwise she is sliding on the paved road
 
Kupanga na kuratibu mkutano tu?!
 
She is not the smartest in the record pls punguza uchawa. Ni mazingira yanayo mbeba, lakini kama angekuwepo kwenye competitive enviroment, kama alizokutana nazo jpm or j.k.nyerere ndio kipimo halisi

Otherwise she is sliding on the paved road
Alikuwa kwenye very competitive environment na ameshinda ndiyo maana nampa hongera!
 
How is intelligence measured? Like u do? No plz I think you are sent and been used as a toilet paper. Smartest for what? Confiscating and paying haulers? It is you that with a small IQ can term even weakest people as intelligent
we tafuta namna ya kutoka kwenye huo ukoloni wa mwingereza. Unafikiri ukitumia kiingereza ndio itaoneekana umeandika jambo la maana?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye

You took them by surprise very much unprepared!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima

Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.

Samia judging you by any standard you remains the most intelligent president in history of Tanzania

Kudos Samia
Kumbe ukiukaji wa Katiba na Kanuni ni kigezo cha kiongozi kuwa smart?
 
Back
Top Bottom