The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
Kuwa mtanzania ni kazi ngumu image unakutana mtanzania wa kawaida kama mimi na bado ni mwanachama wa ccm alafu anaona samia ana akili tena anasema she is smartest president.Haya ni matatizo makubwa sana.