Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

Chifu mkuu hangaya keshasema sisi ni wa kuchangia mbegu tu, mambo mengine yote wanamaliza wao kama wao.......
 
Nyie wenyewe c mmeona wale covid19 kimbuga job alivyowalaghai, yaani mwanamme mmoja wao 19 lkn hawakufua dafu,

So waacheni nao wajidai ndivyo walivyo
 
Kuna
mahali wanaume wamemkwaza si bure!
 
Muda utajibu kwani wote wapo kwa muda tu. Tusubiri 2025 najua wapo pembeni wanajipanga ila hawataki kujionesha wasije kuitwa wapinzani. Kinawauma wanasubiri muda ndo wajitokeze maana walishaanza za chinichini na wanajipanga sawasawa.
 
Magufuli alikua mbaguzi wa makabila na Vyama...huyu mbaguzi wa jinsia bado mengine
 
Umenikumbusha jambo. Kama tuko !sawa kwa kila kitu ni kwa nini hajaikacha Dini yake ambayo inamkataza yeye kusali Chumba kimoja na Wanaume? Au anaongea mambo asiyoyaamini?
Mkuu kuna vitu hii dunia ukiwafuatilia hawa binadamu utagundua dini zinatufivha tu as mwili uliovaa nguo, vinginevyo tupo utupu..!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…