Pre GE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

Pre GE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama (Rais) hasa katika Body Language yake kisha mtarejea hapa na Kunielewa vyema GENTAMYCINE na hiki nilichokiuliza au nilichokiwasilisha hapa.

Rais Samia Suluhu yuko hapa JF na tuko nae sana naamini atakuja kunijibu hili.
 
Sasa pikipiki nchi mzima zenye picha yake za nn!!
 
Hawa wamepewa wali maharage wakapigwa picha
20240712_174440.jpg
 
Mimi Mheshimiwa Rais wa nchi hii kijana wangu Genta nakuhakikishia kuwa 2025 nitagombea kwa ridhaa ya chama changu.
Pia nakupongeza kwa kufanya vizuri kwenye majukumu uliyopangiwa na serikali yangu sikivu huko Uganda.
 
Kwa wale Matomaso ( Wabishi wa Kuelewa daima ) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu / CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama ( Rais ) hasa katika Body Language yake kisha mtarejea hapa na Kunielewa vyema GENTAMYCINE na hiki nilichokiuliza au nilichokiwasilisha hapa.

Rais Samia Suluhu yuko hapa JF na tuko nae sana tu japo wengi hawajamshtukia hivyo naamini atakuja Kunijibu hili.
Tanzania tunaishi ki unafki na kujipendekeza,mama kawashtukia
 
Back
Top Bottom