Kwa wale Matomaso ( Wabishi wa Kuelewa daima ) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu / CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama ( Rais ) hasa katika Body Language yake kisha mtarejea hapa na Kunielewa vyema GENTAMYCINE na hiki nilichokiuliza au nilichokiwasilisha hapa.
Rais Samia Suluhu yuko hapa JF na tuko nae sana tu japo wengi hawajamshtukia hivyo naamini atakuja Kunijibu hili.