GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huogopi Kutekwa, Kupigwa na Kuteswa na baadae Kuhurumiwa na Kutibiwa kwa Shilingi Milioni 35 za Kitanzania Mkuu?Hakuna mtu anayemtaka tena mama Samia, wote tumemchoka, na yeye anajua hilo.
Hawezi kaa Uganda wanasheria kali sana wakeπΊπ¬πΊπ¬πΊπ¬Vip uko
Uganda tena?Hawezi kaa Uganda wanasheria kali sana wake
Tanzania tunaishi ki unafki na kujipendekeza,mama kawashtukiaKwa wale Matomaso ( Wabishi wa Kuelewa daima ) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu / CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama ( Rais ) hasa katika Body Language yake kisha mtarejea hapa na Kunielewa vyema GENTAMYCINE na hiki nilichokiuliza au nilichokiwasilisha hapa.
Rais Samia Suluhu yuko hapa JF na tuko nae sana tu japo wengi hawajamshtukia hivyo naamini atakuja Kunijibu hili.
Hapo hakuna hata mwenye sifa ya kupiga Kura mwakani.Hawa wamepewa wali maharage wakapigwa pichaView attachment 3040613
πππππ anashangaza kwakweliRais akujibu wewe, upo timamu kweli wewe dogo?
Uko sahihi siwezi kukaa nchini Uganda kwakuwa Wewe Dunduka Mmoja umesema hivyo. Nipo Kijijini navuna Mahindi.Hawezi kaa Uganda wanasheria kali sana wake
Sipo Uganda na siwezi kuwa huko ila Wewe na Yeye ndiyo mnaweza kuwa huko kwani nyie ndiyo mmeandikiwa Kusafiri.Uganda tena?
Kwa nguvu ya JWTZ, PT na TISS ila kwa Nguvu za Wananchi na Kura zao Saa 4 tu Asubuhi anaanguka kwani hakubaliki.
Kuwafuta hawa labda ni mwisho wa duniaJWTZ, PT na TISS