Pre GE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtumie text
 
Sasa akionesha kufurahishwa ni hili simtamuona mlafi wa madaraka lazima aoneshe kwamba kama hataki na kushangaa au kutofurahishwa ila ndani ya moyo anashangilia .Au hujaona mtu anakaribishwa chakula anasema asante nimeshiba unafiri ana maanisha kwamba ameshiba la hasha bali ni kwamba akikubali haraka haraka utaonekana mlafi au chokaa mbaya, huna lolote kilicho kuleta hapo ni njaa watu wanaweza kukuzarau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…