Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
 
Keeping up the Appearances...

Lazima atafute fodder ya kuwalisha Chawa...; Kwamba katika Arsenal yake kuna Nguvu ya Kusuluhisha.... (Wanasiasa wa siku hizi they are soo predictable)
 
Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.

Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..na why huende kabla ya confirmation ya uhakika ya kukutana na wahusika unaoneda kuonana nao?
 
Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.

Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..
Very poor decision making.
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Kwani wewe unamtaka Rais Ili umfanyaje? Kule Twitter kazi Yako ni kuponda ukaona haitoshi uje na huku si ndio?
 
She played cheap politics. Alienda Kenya kwa mualiko wa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, akadhani Siasa za Kenya ni kama za CCM na Chadema akadhani atakua na ushawishi wa kumsihi Rutto afanye mazungumzo na Odinga kwa bahati mbaya Rutto akamuwekea tinted, hakuwa na namna ikabidi arudi nyumbani kimya kimya. What a shame. BTW Rutto kesho yuko TZ kwa official duties. Sema walevi huwa tunapeana matumaini sana.
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Huyu mama tangu alipoahamishia serikali na kukaa marekani siku zaidi ya 6 kuzindua Royal tour nikajua tu hapa tumepigwa na katiba. Ndiyo maana mara nyingi ninapojaribu kutoa kasoro na mapungufu ya Rais kuna nafsi inaniambia "usimseme sana" kumbuka ni amateur kwenye office inayohitaji pro. Natamani kumalizia hasira zangu kwenye katiba...
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Kwa hiyo unaamini maneno ya Odinga ndo unaleta uzi humu? Hayo maneno yana ukweli wowote? Umethibitisha?
 
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?

Source: Raila Odinga na BBC.
Ni mangapi yamejiri na hukuambiwa?
 
Back
Top Bottom