Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si maji tu alikuwa anawananga majirani......!!!Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Wewe kama nani kwenye "protocol" na usalama wa Rais hata ujulishwe safari zake zote?Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
=kujulishwa =kusuluhisha.Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Labda kuuliza swala la DP W kenya wanalihendo vipiHili la dp limemfanya a loose confidence,
Au ameenda kuuliza ile bendera ya Kenya kule Dubai iliwekwa lini.
Labda deep state ya kwenye PlayStation, Samia ni Rais mpaka 2030 hutaki chimba shimo ujifukie.Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.
Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Uambiwe kila kitu wee nani?Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Mbona taarifa hii inashangaza?Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.
Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..na why huende kabla ya confirmation ya uhakika ya kukutana na wahusika unaoneda kuonana nao?
Yule alikuwa anaenda kupelekewa moto, huyu je?Cleopatra alikuwa anavuka Mediterranean kimya kimya.
Alikuwa ana tafuta umaarufu aonekane amepatanisha watu mwishowe kaumbuka😂😂😂😂😂🤣Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Ebu andika hiyo kauli ya kinanaHuyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.
Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Mmmh ccm hi hi ione haya never watamuweka yoyoteHuyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.
Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Twitter matola anatumia I'd ganiKwani wewe unamtaka Rais Ili umfanyaje? Kule Twitter kazi Yako ni kuponda ukaona haitoshi uje na huku si ndio?
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskiniShe played cheap politics. Alienda Kenya kwa mualiko wa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, akadhani Siasa za Kenya ni kama za CCM na Chadema akadhani atakua na ushawishi wa kumsihi Rutto afanye mazungumzo na Odinga kwa bahati mbaya Rutto akamuwekea tinted, hakuwa na namna ikabidi arudi nyumbani kimya kimya. What a shame. BTW Rutto kesho yuko TZ kwa official duties. Sema walevi huwa tunapeana matumaini sana.
Ni ngumu sana.Tofautisha R na L ni wapi zinatumika.
Samahani kama nitakukwaza.
[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2] huwa hii ndio kauli mbiu yako " eti shule tumekwenda kusomea ujinga " wee kizee una dharau mnoWewe kama nani kwenye "protocol" na usalama wa Rais hata ujulishwe safari zake zote?
.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?