Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Very poor decision making.Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.
Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..
Kwani wewe unamtaka Rais Ili umfanyaje? Kule Twitter kazi Yako ni kuponda ukaona haitoshi uje na huku si ndio?Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Huyu mama tangu alipoahamishia serikali na kukaa marekani siku zaidi ya 6 kuzindua Royal tour nikajua tu hapa tumepigwa na katiba. Ndiyo maana mara nyingi ninapojaribu kutoa kasoro na mapungufu ya Rais kuna nafsi inaniambia "usimseme sana" kumbuka ni amateur kwenye office inayohitaji pro. Natamani kumalizia hasira zangu kwenye katiba...Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Angalau inajulikana yeye alikuwa anafuta mapenzi. Huyu wetu je? Mbona hasemi alikwenda kufanya nini?Cleopatra alikuwa anavuka Mediterranean kimya kimya.
Kwa hiyo unaamini maneno ya Odinga ndo unaleta uzi humu? Hayo maneno yana ukweli wowote? Umethibitisha?Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.
Ni mangapi yamejiri na hukuambiwa?Je ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
Source: Raila Odinga na BBC.