Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
20240810_203517.jpg
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024.

Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
 
Ndugu zangu Watanzania.

Habari ndio hii
Screenshot_20240810-203326_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
 
Ndugu zangu Watanzania.

Habari ndio hiiView attachment 3066366

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa
Baada ya sekeseke la Gen Z naona alitulia sana hadai akafanya ziara vijijini.Sasa Bada ya kudanganywa na nyomi la Moro na emSumbawanga Mh Rais anaona Sasa MDA Bora kuanza safari
 
Ndugu zangu Watanzania.

Habari ndio hiiView attachment 3066366

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Kagame atabubujikwa machozi furaha kumuona Saa 100.......
Jinga kabisa badala ugisie mawakili yukatetee 3.2T kesi huko tulinde maliasili zetu wewe unakomaa uchawa na upunga wakooo shwain
 
Baada ya sekeseke la Gen Z naona alitulia sana hadai akafanya ziara vijijini.Sasa Bada ya kudanganywa na nyomi la Moro na emSumbawanga Mh Rais anaona Sasa MDA Bora kuanza safari
Acha ujinga wako hapa. Rais Samia hata asipofanya kampeni hapo Mwakani atapita kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.kwa sababu anakubalika na kupendwa na watanzania ni haijapata kutokea
 
View attachment 3066365
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024.

Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
Mungu amtangulie kwenye safari yake
 
View attachment 3066365
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024.

Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
Dikteta kwa dikateta, mwizi wa kura kwa mwizi mwenzake
 
Back
Top Bottom