Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa hakuna haja ya kufanyika uchaguzi kupoteza fedha tu Kagame ni rais wa kudumu wa Rwanda kama vile rais wa ChinaView attachment 3066365
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024.
Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
Naunga no mkono hojaNadhani balozi angetosha kumuwakilisha
Bwege weKagame atabubujikwa machozi furaha kumuona Saa 100.......
Jinga kabisa badala ugisie mawakili yukatetee 3.2T kesi huko tulinde maliasili zetu wewe unakomaa uchawa na upunga wakooo shwain
Ngumu kwa mtu Anayemuamimi baba ndubwi ni messiah kujua role ya presidentBi MAZA wa Minuso anaanza Tena pale alipoishia🤔
Na hatimaye kawafikia Wanyarwanda pia, Hakika Mama anaupiga mwingi.Ndugu zangu Watanzania.
Habari ndio hiiView attachment 3066366
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Bwege wewe ....Bwege we
Kesi ya 3.2T ni mchongo wa jamaa wanataka extension ya mkataba usio wao
Wameona tumeshtuka
Hakuna kesi pale… ila because of global glorified corruption wanaweza kupewa favor ya recommendation ya extension
Hujui kila kitu bwege… Michezo tu ile na brokers wanajulikanaBwege wewe ....
Najua kila kitu yafaa kama Taifa tujipange....tushinde ile kesi....sio kuendekeza uchawa kijinga
Wewe unaona chini ya pua Yako tu. Rwanda anafanya biashara na Tanzania kwa zaidi ya 90% huyu ni mshirika muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania.Kwenye msiba wa raisi wetu hakuja, lkni cheki tulivyokuwa na shobo kukimbilia uapisho wake..
every landlocked country in central and east africa ana biashara na Tanzania kwasababu ya bandari.. siyo kitu ambacho kilianza jana au juzi. The fact remains jamaa hakujitokea kwenye msiba wa jirani yake,alafu ww unakimbilia kujionyesha kwenye sherehe yake. Show some dignity..Wewe unaona chini ya pua Yako tu. Rwanda anafanya biashara na Tanzania kwa zaidi ya 90% huyu ni mshirika muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania.
Hakutuma mwakilishi? Ulitaka atangaze kwenye vyombo vya habari sababu za kutokuja? Halafu bandari haipo Tanzania tu wanaweza kwenda nchi yeyote ukanda wa afrika mashariki.every landlocked country in central and east africa ana biashara na Tanzania kwasababu ya bandari.. siyo kitu ambacho kilianza jana au juzi. The fact remains jamaa hakujitokea kwenye msiba wa jirani yake,alafu ww unakimbilia kujionyesha kwenye sherehe yake. Show some dignity..