Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Rockefeller unaelewa ulichoandika ?Habari wakuu,
Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi samia huko Kenya? Au ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
View attachment 2378207
SielewiRockefeller unaelewa ulichoandika ?
Duh pitia head ya uzi wako tenaSielewi
Samia hawezi kuchorwa picha yake kwenye magari kwa sababu hana ushawishi wowote tofauti na ruto ambaye anakubalika africa mashariki nzima
Safi sana umemfunga mdomo huyo uchwara.
Kuchorwa kwa gari inamaanisha nini surely.Habari wakuu,
Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni
Je vipi Samia huko Kenya? Au
Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
View attachment 2378207