mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Kama kina John mnyika etyMara zone akina John huwa wanaakili na uwezo mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kina John mnyika etyMara zone akina John huwa wanaakili na uwezo mkubwa
Basi tumrudishe JK na tuendelee kupata mvinyo 😂 😂 😂 😂 😂..sidhani kama Watz tulihitaji kiongozi dhalimu asiyekuwa na utu.
..hivi miundombinu haiwezi kujengwa nchi hii bila kudhalilishwa, kutukanwa, kutekwa, na kuuwawa?
..hili janga la UPOTOSHAJI kuhusu ugonjwa wa corona madhara yake tuko tayari kuyakabili?
Basi tumrudishe JK na tuendelee kupata mvinyo 😂 😂 😂 😂 😂
Gaidi alidungwa Dubai
Changes zinahitajika na zitakuja. Ila sio kwa stahili ya fujo na vitisho. Tutajiharibia wenyewe. Wenye hizo agenda walee na washindwe..Watz tuna-invest mno kwenye URAISI.
..Rais wa Tz akiharibu / akipotoka hakuna mtu au chombo kinachoweza kumrudisha kwenye mstari.
..napendekeza tuhakikishe BUNGE letu lina nguvu.
..Magufuli na Kikwete wangepata mabunge yenye meno wangekuwa maraisi wazuri.
Changes zinahitajika na zitakuja. Ila sio kwa stahili ya fujo na vitisho. Tutajiharibia wenyewe. Wenye hizo agenda walee na washindwe
Tunaobet tumekosa nini jamani 😁Magufuli atabaki kuwa kiongozi ambae mtu mwenye akili atamueshimu sana lakini walevi ,wafoji vyeti na wezi na madalali hawatokuja kumuelewa hata kidogo
Nchi sasa imekuwa ya walevi,madalali na wanaobet ndo wanatamba sasa
Asafishwe why?! Magufuli atabaki kuwa miongoni mwa viongozi shupavu siyo tu kwa TZ Bali kwa Afrika nzima..sidhani kama wanaweza kumsafisha Magufuli kwa misimamo, upotoshaji, na mizaha yake, kuhusu ugonjwa wa korona.
Limama ni lisanii, tapeli la Kiunguja...SSH katoka kudungwa chanjo halafu anasema amekubaliana na falsafa ya Magufuli kuhusu covid 19!!
Jibu swali, hoja iko pale pale haiendi popote.Jikite kwenye hoja
Tatizo wana chadema think Mbowe is a saviourRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
Anaupiga Mkubwa sanaSasha mediocre,Sasha unauma na kupuliza,mtoto wa mzee Mpili asituchanganye afanyw yanayomhusu,then apite kushoto!
Slaa wasn't an opposition leader, a true opposition leader can never switch sides.Tatizo wana chadema think Mbowe is a saviour
after slaa, it will take us 20 years to have another serious opposition
liaison na wazungu ndio inacost mamluki
Mbowe mwenyewe alianzia ccm… Msipoke tuSlaa wasn't an opposition leader, a true opposition leader can never switch sides.
Hii inaonyesha hakuwa akiami anachokisimamia au alikuwa ni pandikizi, sijawahi kuamini yoyote aliyetokea CCM hata kama bado wapo(sadly huwa sifuatilii sana mambo hayo) msimamo wangu ni kuwa wasiaminiwe kabisa kwenye opposition.
Slaa huyu huyu ambaye The one and only porn star Gwajiboy alimuanika kila kitu chake hadharani, ni opportunist tu nothing more nothing less. Ila ni mahiri kwa tantarira za majukwaani nadhani inatoka na experience aliyoipata kipindi akiwa padre.
Hawezi kuwa shujaa kwa mambo yote hayo kwa wakati mmoja, Chanjo hatujui zinausalama gani kwa miaka kadhaa ijayo..Magufuli alikuwa anapinga chanjo. Pia alikuwa akipiga vita uvaaji wa barakoa, yeye akiziita "mabarakoa."
..Na alizua kwamba kuna Watz wamekwenda nje ya nchi kuchanja wamerudi nchini na kuanza kutuambukiza.
..Sasa dunia inaweza vipi kukubaliana na kiongozi mwenye mitizamo ya ajabu-ajabu kama Magufuli?
ma.vi yakoYuko sahihi, Ila nashukuru Sana kwa juhudi na mbinu alizozitumia kupambana na gaidi mbowe
filosofi ipi ya kujifukiza au ya dawa za kienyeji?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
Shoger katika ubora wakoRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha mabalozi Ikulu Dares Salaam amesema kwenye hili janga la corona dunia nzima imekubaliana na philosophy ya hayati Magufuli kuwa ugonjwa wa Corona ni janga ambalo binadamu watalazimika kujifunza jinsi ya kuishi nao kwani haijulikani lini utaondoka.
Rais Samia amesema hata nchi walizokuwa wamefunga viwanda na kuweka lockdown wameamua sasa kwamba kazi iendelee na wamefungua viwanda vyote na kuanza uzalishaji tena kama zamani.
My take
Corona ilipoingia hapa Tanzania wabunge wa chadema wakiongozwa na Mbowe walikimbia bunge na kwenda kujifungia ndani na kuwaacha wenzao wakiendelea kuchapa kazi chini ya spika shupavu Ndugai.
Alisafishwa na UN alipoenziwa kwa kazi njema,wewe na chuki zako hazina mashiko...sidhani kama wanaweza kumsafisha Magufuli kwa misimamo, upotoshaji, na mizaha yake, kuhusu ugonjwa wa korona.