johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini
Source TBC
=======
Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema:
"Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna pointi 49. Na maeneo mengine hivyo hivyo tunaendelea kushuka. Kwahiyo nadhani twende tukajitathmini, tuangalie vile viashiria vyote wanavyoviangalia tujitathmini na tuone ni namna gani tunavifanyia kazi na tukapandisha maksi zetu."