Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kumbe unajuaRais Samia Suluhu amesihi wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili nchi ipunguze kukopa.
ni muhimu sana na ni jambo la maana sana kujifunga mkaja na kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa, na huo ndio msingi imara sana wa taifa letu kuhemishika zaidi duniani.Rais Samia Suluhu amesihi wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili nchi ipunguze kukopa.
Lakini tulikuwmbia mama ulipoanza ukatupuuza na kuwasikiliza hao Chawa ambao Leo umeingizwa kwenye mtego wanakuacha peke yakoRais Samia Suluhu amesihi wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili nchi ipunguze kukopa.
Hatukopesheki😂😂😂😂Ehh mpunguze kukopa
Ova
Duh kumbe hatukopeshekiHatukopesheki😂😂😂😂
Tukusanye hela za ndani. Ila nidhamu ya matumizi iwepo.
Report za CAG zinaonyesha mengi sana. Hatuko serious kabisa
ITAFIKA KIPINDI WAFANYA BIASHARA WATALIPIA KODI YA "BUSINESS PLAN"Rais Samia Suluhu amesihi wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili nchi ipunguze kukopa.
Mpumbavu ni Mpumbavu tu watu walipo sema hivi alipinga ...kaona jumuia za kimataifa wamesha mjua kuwa ni mpumbavu ndiyo anajidai kuongea hivyo wakati speaker wa bunge ndugai aliposema hivyo walimwambia ajeRais Samia Suluhu amesihi wafanyabiashara kulipa kodi ipasavyo ili kukusanya fedha nyingi za ndani kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ili nchi ipunguze kukopa.
Serikali ina matumizi makubwa kupita kiasiPesa zenyewe anachezea
Nchi ina matumizi makubwa ya hovyo hovyo snAwakamue wananchi alafu awaambie anaowateua kwamba sasa tumekusanya Kodi TULE kila mmoja na UREFU wa kamba niliyomcholea...ndo zake, wazifisadi pesa deni liongezeke tufukuzwe nchi