Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

Rais Samia: Lazima tukusanye Pesa zetu za ndani huko nje masharti yamekuwa yakiongezeka

ni muhimu sana na ni jambo la maana sana kujifunga mkaja na kujitegemea kiuchumi, kijamii na kisiasa, na huo ndio msingi imara sana wa taifa letu kuhemishika zaidi duniani.

well done Dr Samia suluhu Hassan kipenzi cha waTanzania wote 🐒
Kila ukiandika una andika uharo...wenzio wanakwiba hela wewe umekalia kuandika ujinga.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato TRA Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 16 Juni, 2025 amezungumza umuhimu wa Wananchi kulipa Kodi ili Nchi iance kutegenea kuomba kutoka nje.
Gtjv4hdXUAA7BN3.jpg

Gtjv4hIa8AAU2YY.jpg

Gtjv4hebgAAI1L_.jpg

Rais Samia: Tunakopa kwa miradi mikubwa, hatuwezi kujenga reli wenyewe
Akizungumza umuhimu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mamlaka hiyo ikusanye mapato kwa njia rafiki kwa kuwa Serikali inakopa kwa ajili ya miradi mikubwa, akitoa mfano ujenzi wa Reli unaoendelea nchini.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato TRA Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 16 Juni, 2025 amezungumza umuhimu wa Wananchi kulipa Kodi ili Nchi iance kutegenea kuomba kutoka nje.
An idiot par excellence! Huyu kenge alimng’oa Job Ndugai kwa kupinga nchi kutegemea mikopo na misaada kutoka nje. She can’t see beyond her nose!

Amuombe msamaha Ndugai kwanza!
 
Naomba Ndugai awe reinstated tafadhali na aombwe radhi hadharani...kina kibajaji na wenzako mnajisikiaje Sasa?!... yaani you threw your own Brother under the Bus na leo uliekuwa unamkingia kifua kayarudia maneno ya kaka yako word by word... Y'all should be ashamed.
 
Watahamisha magoli 😄

Ova
 
Back
Top Bottom